#COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

#COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

[emoji382][emoji382][emoji818][emoji817]%[emoji123][emoji1241][emoji106]
"Only Stupid People Don't Change Their Minds"..[emoji40][emoji40].. Boutros Boutros-Ghali
Former Secretary-General of the United Nations
Unaamini hilo???
 
Kwa ufupi kwasasa wananchi wanamuona Mchungaji Gwajima kama kivuli cha JPM na ile imani yao kwa JPM wameiweka kwa Gwajima na ni kama ushawishi wa Gwajima unashinda.
Kuna mahali nilikua nmekaa na wazeee . Kila mzee anasema ,Gwajima karithi Mikoba ya JPM.


naona hili jambo linaenda kumpa Gwajima Umaarufu na Ustahili .
 
CCM na Serikali yake wameshatepeta mbele ya Chidboy. Hatimaye Sukuma Gang waibuka kidedea Msoga Gang walie tu.
 
John unampampu Gwajiboy sasa mwisho utamponza.

“Askofu Gwajima:ukimtoa Yesu aliye mwana wa Mungu, ambaye nimeweka maisha yangu kwake, kingine hakinitishi. Na hiyo ndiyo imani yetu sisi, hatugeuki, hatubadiliki, hatujadili”

ukiwa na Yesu hakuna kuogopa
 
Gwajima ana mtaji wa watu ambao sehemu kubwa ya hao watu wapo kwenye lindi la ujinga kama yeye mwenyewe

Serikali hivi imeshindwa ku m fix huyu msanii kwa kivuli chake cha uongozi wa Kanisa na kuna wa Tanzania wenzetu ikifika suala la imani hata kwa watu wasanii kama huyu wanakuwa upande wake as long anatoka kwenye imani yake
 
Hata mie nilikaa sehem flani nikasikia wazee wakisema chid aendelee kukaza hadi dakika ya mwsh.
Kuna mahali nilikua nmekaa na wazeee . Kila mzee anasema ,Gwajima karithi Mikoba ya JPM.


naona hili jambo linaenda kumpa Gwajima Umaarufu na Ustahili .
 
Unajidanganya Chidboy ameshaimanua CCM tayari wewe unasema nini?
Kaimanuaje? Kwa kuropoka kwamba ukichoma chanjo utapata alama ya 666 begani? Huko ni kuimanua au kujionesha ni jinsi gani yupo empty kichwani?
 
Mungu hachangamani na mzinzi, mwongo, tapeli, mzushi na mwizi wa kura
1. Labda uanze kwa kuyathibitisha kwanza ukweli wake ndipo nitasadiki vinginevyo nitachukulia ni sababu ya chuki, fitina n.k

2. Nikikuuliza; Kwani upande huo aliyemsafi ni nani wa kuweza kunyajua jiwe kuanza kumrushia J. Gwajima?

3. Unamfahamu mtu (Mwamini) kufanyika Mwana wa Mungu ?

Je unafahamu maana yake?

Je unaijua siri iliyomo ndani yake bila kujali chochote?

Tafakari, tafuta kujua!

Hata hivyo siri za Mungu zina wamchao!
 
Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa.

Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge...

😂😂😂😂!

".....yaani yuko waluwalu tu hatulii, juzi alisema mume wangu baada ya kuchanjwa ame-test mitambo yangu iko fiti, kiongozi unasema hivyo?"

"....Wanatakiwa kusema kwa sasa hivi sisi mama tutaharibu kwa sababu tulisema hivi na video zipo wakijifukiza wenyewe.”


Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom