Askofu Gwajima anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Kimei Waziri wa Fedha, Tarimba Abbas Waziri Viwanda na Biashara!

“Kumchagua mtu ni kuamini katika uwezo wake wa kufanya maamuzi”

“Kumuingilia au kumshutumu anapoyafanya si sawa, hata biblia inakataa”
Mkuu nakupa ONYO leo nimeamka vibaya hivyo angalia sana nisije nikazimalizia hizi Hasira zangu Kwako. Kwanini uheshimu Mawazo yangu Wewe?
 
This is very advanced to you, nakuelewa! Ila unapochagua mtu amini uwezo wake ndugu! Usimuingilie!
 
Ni mapendekezo tu kutokana na viwango vyao vya elimu na uzoefu wao katika kutumikia watanzania.

1. Askofu Dr Gwajima........ Waziri wa mambo ya ndani

2. Dr Kimei........Waziri wa Fedha

3. Mh Abbas Tarimba.......Waziri viwanda na biashara

4. Mh Babu Tale........Waziri wa Habari, Sanaa na michezo

5. Mh Mrisho Gambo....... Waziri wa Tamisemi

6. Mh Godwin Kunambi........Waziri wa Katiba na Sheria

Unaweza kuendeleza orodha

Maendeleo hayana vyama!
Ila ujue mimi sipangiwi!
 
Sheria za kuteuliwa kuwa waziri unazijua? Ni kwamba waziri awe amewahi kufanya Kazi serikalini na kuwa na faili la kazi serikalini ,je watajwa wamewahi?
 
You head need to be examined
 
7.Umi Mwalim.....................................waziri wa afya(huyu mama amefanya kazi nzuri mno na ngumu janga la Corona sijui walitumia mbinu gani na muhehimiwa mungu awajalie mdudu Corona aogope kurudi tena
 
Wizara inayomfaa Gwajima ni ya utamaduni na usanii.
 
Kwanza mtuambie kwanini mliiba kura?.
Hii kesi bado haijaisha
 
KURA ZA KISHINDO.
Dah wacheni kumchagulia safu yake ya uongozi. JPM ameaminiwa kwa kura za kishindo hivyo yeye mwenyewe anapanga safu yake ya Hapa Kazi Tu.
Screenshot_20201101-101529.jpg
 
Bwashee naona mnawekana wenyw tu
Ni mapendekezo tu kutokana na viwango vyao vya elimu na uzoefu wao katika kutumikia watanzania.

1. Askofu Dr Gwajima........ Waziri wa mambo ya ndani

2. Dr Kimei........Waziri wa Fedha

3. Mh Abbas Tarimba.......Waziri viwanda na biashara

4. Mh Babu Tale........Waziri wa Habari, Sanaa na michezo

5. Mh Mrisho Gambo....... Waziri wa Tamisemi

6. Mh Godwin Kunambi........Waziri wa Katiba na Sheria

Unaweza kuendeleza orodha

Maendeleo hayana vyama!
 
Gwaji Boy haiwezi hiyo Wizara! Sina hakika kama amewahi hata kupitia Mugambo hata asitahili kupewa Wizara nzito kama hiyo!
 
Wa ndani ni makonda, na RC wa dar ni sabaya Kama fadhila ya Kazi nzuri aliyotumwa kuikamilisha
 
HAPO NAMUONA CHARLES KIMEI TU NDIO ANA SIFA ZA KUPEWA WIZARA, NA SIDHANI KAMA ATAPEWA WIZARA YA FEDHA SABABU INAONEKANA PHILIP MPANGO AMESHAFIT PALE.
 
Sheria za kuteuliwa kuwa waziri unazijua? Ni kwamba waziri awe amewahi kufanya Kazi serikalini na kuwa na faili la kazi serikalini ,je watajwa wamewahi?

Waitara amefanya kazi serikalini mwaka gani ? Vipi kuhusu juliana shonza?
 
Gwajima labda waziri wa uvuvi, si alisema ana boti za uvuvi
 
Back
Top Bottom