Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Hivi siyo kumkosea heshima Bi Kidude kweli?

An icon kila Sauti za Busara zilipofanywa ilikua ni lazima awepo.

Kwa Tanzania na dunia alikua ni nembo ya muziki wa Taarabu.

Nyimbo zake zipo dunia nzima, amefanya matamasha nje ya Tz na ndani ya Tz muda wote akimaintain taswira ya bibi mchangamfu asiye na makuu.

Kisha anatokea Gwajima na anatumia jina la Bi Kidude kama namna ya kumkashifu mtu mwingine.

Siyo vizuri, hii tabia itasaidia kupata vicheko viwili vitatu kutoka kwa wasikilizaji ila ni kujivunjia heshima.

Eh nilisahau, heshima alishaachana nayo tangu siku aliyovunja ndoa ya Mbasha na kuingia kwenye ugomvi na Makonda.
 
Gwajima ana matusi sana na dharau kwa waislam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika vitu ambavyo sijawahi kutamani kuvifanya ni kugombana na wanawake
IMG-20200905-WA0023.jpg
 
Hivi Gwagima Alisha muomba msamaha Pengo?? Utasimamaje kwenye jukwaa la siasa?
 
Ni mby ktk mila zetu mtoto wa kiume kujifananisha na Mtoto wa kike
Huyu naye asituchoshe
Hawezi kujifananisha na Halima
Halima kakomaa kisiasa sasa wewe umekomaa ushamba na udwanzi
 
Back
Top Bottom