Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Ila chadema muwe wakweli, safari hii dar mmepoa sana. Nawatabiria mnaweza bahatisha jimbo moja tu. Nalo kwa taabu sana
Udhaifu wa kutoungana, na poor media campaign unawacost. Ila ACT/CUF na CHADEMA wakishirikiana kwa Dar bado sioni majimbo mengi yakirudi CCM.
 
Kila mgombea na mbinu zake. Hiyo ni mbinu ya CCM, siyo lazima wengine waige.
Halafu ni ajira pia kwenye hiki kipindi cha kampeni, ila chadema wameamua kuwanyima wasanii ajira.

Wanahubiri ajira, lakini hawatoi ajira.
Hizi ndizo aina za zero zilizojaa hapo Lumumba 🤣🤣🤣
 
Sasa Bi. Kidude ana shida gani, anahusikaje na siasa? Sioni connection yoyote.
Sio busara sana kutweza utu wa mtu mwingine haswaa mtu huyo akiwa ni marehemu.
 
Mtumishi ameamua kuvaa kofia mbili...😔😔😔..hii si afya kwa kanisa
 
Back
Top Bottom