Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Gwajima ni msomi asie jitambua,mm nikimuonaga mwanaume ambae amekalia mipasho,umbea,kutukana kila mmoja ,dharau namuona ni mjinga sana.Kwa mfano swala la kuambia waislam kuwa miskiti ataifanya Sunday schools wakati anajua hii nchi haina dini alikosea sana na itamkost sana.
 
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.

Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.

Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa Kampeni wa Makamu wa Rais, katika Uwanja wa Mwembeyanga Temeke.View attachment 1559570
Ogopa sana mtu anayezunguzia mtu badala ya vitu!!
 
Hata lile bus alilopanda kutoka koromomije bado linafanya kazi, yaani huyo kwa dar bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah🤔 Yani bado Kuna watu wanajisifia kuwahi kufika hapa dar...? Wanaoijenga dar ndio, hawahawa wakuja, wewe Basi lako ulilo panda kuja dar, huenda halifanyj kazi, Ila Ni mlala hoi, endapo tutaamua kukulinganisha nae😂😂😂.Acha mihemko ya siasa,ujue kabisa unapigania matumbo ya wenzako, Ohooo ..!😂😂😂
 
Huyu Gwaji boy hana hata
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.

Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.

Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa Kampeni wa Makamu wa Rais, katika Uwanja wa Mwembeyanga Temeke.View attachment 1559570

Huyu Gwaji boy hana maneno ya staha hata kwa walio marehemu.

Bi. Kidude ni marehemu (rip). Pia ana jamaa zake wenye kutumia mno kwa kuondokewa naye. Ustaarabu gani huu wa kutumia majina halisi ya marehemu kwenye upuuzi wake?

Huyu alipaswa kukemewa na wote wapenda haki.

Eeh mola wetu na ukajidhihirishe ukuu wako dhidi ya wao wote wenye kujiinua kwa kibri na kujidhania kuwa wao ndiyo wao na hayupo mwingine zaidi yao.
 
Sasa kwenye majukwaa ya siasa ni kanisani??

Mataga huwa mnaacha wapi ubongo?
[/QUOTE
Sasa hela inayotolewa kanisani, na ile inayotolewa majukwaani zinautofauti gani katika matumizi🤔? Hela Ni hela tu, yeye anawapiga wafuasi wake kanisani, nyie makima mnapigwa kwenye majukwaa ya kisiasa😂, zote ni mbinu za utafutaji.
Acha kuwa bongo lala, utakuwa fursa ya watu kila siku.
 
Bi Kidude alikuwa muislamu..hivi huyo nabii koko ana shida gani na waislamu
sisi waislam tunampenda sana na hatuna shida nae, tunshida na ww kafir usiye mjua mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom