Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Hivi bi kiduke na Mdee alivyosema gwajima mrembo nani ni nani
 
Bi kidude ana kosa gani hapo mpaka kufananishwa na ugomvi wa kisiasa daah
Inashangaza sana kwa kweli kumtaja marehumu asiye na kosa lolote kisa mtu apate kiki tu, hata mama masamia nimemdharau sana nilidhani ana busara kumbe bure kabisa
 
Dah[emoji848] Yani bado Kuna watu wanajisifia kuwahi kufika hapa dar...? Wanaoijenga dar ndio, hawahawa wakuja, wewe Basi lako ulilo panda kuja dar, huenda halifanyj kazi, Ila Ni mlala hoi, endapo tutaamua kukulinganisha nae[emoji23][emoji23][emoji23].Acha mihemko ya siasa,ujue kabisa unapigania matumbo ya wenzako, Ohooo ..![emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unapigania mwana koromomije mwenzio, tuankuelewa ila huyo Gwajima alimkashifu sana kadinali pengo, hatuwezi kusahau hilo na tutamchapa sana kwenye uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu askofu uchwara kala maharage ya wapi?

Kwanini anamtumia Bi kidude kuwatusi wengine?

Anamfahamu vizuri marehemu Bi kidude kweli? An icon of swahili music!

Yaani kwake mtu kuwa Bibi kidude ni tusi?
 
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.

Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.

Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa Kampeni wa Makamu wa Rais, katika Uwanja wa Mwembeyanga Temeke.View attachment 1559570
Askofu kura yangu umeikosa
 
Tumemsikia mrembo, sasa tunasubiri pambano kati ya mrembo na bi kidude
 
Back
Top Bottom