Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Atulie hapo hapo askofu tumbo😂, asije akapiga ukunga wasukuma wanaita bwelelo🏃🏃🏃
 
Ndio raha za Kampeni za uchaguzi, kupata misamisti!!! Sasa Kawe ni mapambano ya Mrembo na Bi Kidude😂😂
 
Bi kidude ana kosa gani hapo mpaka kufananishwa na ugomvi wa kisiasa daah
Huu ni muendelezo wake wa kuchukia uislamu kwann asimfananishe na mbibi wa kikristo,mm ni mkristo AICT,lkn naona gwajiboy ana chuki sn na uislamu
 
Huyu askofu uchwara kala maharage ya wapi?

Kwanini anamtumia Bi kidude kuwatusi wengine?

Anamfahamu vizuri marehemu Bi kidude kweli? An icon of swahili music!

Yaani kwake mtu kuwa Bibi kidude ni tusi?
Sababu tu ni muislamu
 
Ndo maana tunaitajika kuchagua viongozi wenye hekimaa si uyu na maneno ya shobo,Tena anajiita Mchungaji!!!
Kawe najua hawatafanya makosa,twende na sauti ya zege,mchungaji tuna mwomba arudi kuchunga kondoo wake Ila na waasa wafuate mafundisho Ila sii matendo.
 
Gwajima, kwanza awaeleze Waislam kuhusu yale yote aliyosema dhidi yao. Clips zipo

Pili, huyu 'mtumishi wa mungu'' mwenye cheo cha juu leo ameikana vipi kauli yake kwa kugombea ubunge?
Je,hajavunja moja ya amri kumi za mungu za kutosema uongo?

Tatu, huyu Tapeli ameruhusiwa kuwakilisha CCM? Ni tapeli kwasababu nje kapaki helkopta halafu anakusanya 500 za waumini wake masikini kabis. Hii kama si dhambi sijui ni ushetani gani.

Yaani gharama za kuirusha chopa mara moja ni kubwa sana.
Vipi ana mudu halafu aendelee kuomba Sh 500 za waumini!

JokaKuu Pascal Mayalla
 


Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.

Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.

Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa Kampeni wa Makamu wa Rais, katika Uwanja wa Mwembeyanga Temeke.


Huyu bwana ana mdomo mchafu sana!

Hawa ndiyo wale manabii ambao upande gani wapo wanasomeka kwa matendo yao.
 
Tulieni sindano ziwaingie nyambafu!

Hizo lugha za Gwajima kwa cdm ndio amefika, uzuri wanaolialia kuwa wanataka siasa za kistaarabu sio matusi ni ccm. Hapo sasa ndio kafungulia njia maana ccm wataipata fresh.
 
Back
Top Bottom