Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijui hilo ila najua anachukua kawe!
Huyu naye asituchoshe
Hawezi kujifananisha na Halima
Halima kakomaa kisiasa sasa wewe umekomaa ushamba na udwanzi
Halima kakomaa kwa vuruguHuyu naye asituchoshe
Hawezi kujifananisha na Halima
Halima kakomaa kisiasa sasa wewe umekomaa ushamba na udwanzi
Huyu ndo bi kidude kweli. Ah jamani kweli hiyoSalute kwake Jembe View attachment 1559583
Hahahaaaa...... Hajamtendea haki rip!Huyu askofu uchwara kala maharage ya wapi?
Kwanini anamtumia Bi kidude kuwatusi wengine?
Anamfahamu vizuri marehemu Bi kidude kweli? An icon of swahili music!
Yaani kwake mtu kuwa Bibi kidude ni tusi?
Utaongozwa utake usitake!Askofu hawezi kutuongoza sisi.
Halima Mdee nimeona Kampeni zake anafanya ki mpango Sana Mtaa kwa mtaa hiyo sidhani Kama Gwajima atatoboaGwajima safari hii hata yale majini yake atasahu kuyatafutia chakula
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwajima arudi zake kanisani siasa hataziwezaHalima Mdee nimeona Kampeni zake anafanya ki mpango Sana Mtaa kwa mtaa hiyo sidhani Kama Gwajima atatoboa
Mlivyo na vichwa vidogo vyenye tafsiri za ajabu kigogo kesha watafsiria!
Mbona huyu askofu anatumia maneno ya mipasho kama sio kiongozi wa diniAskofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.
Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.
Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa Kampeni wa Makamu wa Rais, katika Uwanja wa Mwembeyanga Temeke.View attachment 1559570