Askofu Gwajima asema yeye na Abbas Tarimba ni mapacha, amkaribisha kanisani kwake na kumpigia kampeni

Askofu Gwajima asema yeye na Abbas Tarimba ni mapacha, amkaribisha kanisani kwake na kumpigia kampeni

Kwahiyo hiyo Abbas Tarimba ndio sabuni ya kumsafisha na makashifa ya ngono na utapeli na kuvunja ndoa za watu. Pia anatuhumiwa kumtukana askofu Pengo. Yale ma porn movie yake tunayo.
Hizi attacks ni very personal. Ni nani asiye na dhambi na asimame ampige mawe mwanamke yule. Acheni personal attacks. Ni sawa na kusema Mdee msagaji, kamuoa Bulaya!!! Hamna aliyekamilika, and upinzani acheni kabisa hizo ishu, wenyewe mna makashfa mengi tu. Kila mgombea na asimame aseme ataifanyia nini Kawe.
 
Gwajima aje atwambie alifikiria nini kuwatukana waislamu.

Atwambie yule gogo alimtoa wapi kwenye ile video yake ya ngono.

Ni kichaa tu atamchagua mtu kama gwajima.
Atuambie pia Ni lini nafasi yake ilishuka Hadi kutosha kugombea ubunge kutoka kuwa mkubwa hata kwa Rais
 
Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema yeye na mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni ni mapacha.

Gwajima amesema hayo leo alipomkaribisha Abbas Tarimba Kanisani kwake na kumtambulisha kwa waumini wake ambao walimshangilia kwa nderemo na vigelegele.

Mchungaji Gwajima amesema yeye na Abbas Tarimba wameletwa na Mungu kuwatumikia wananchi wa Tanzania.

Chanzo: Eatv

My take: Mnaosema Gwajima ana chuki na waislamu soma hiyo!

Maendeleo hayana vyama.
Unafiki mtupu. Inadhihirisha zaidi kuwa Gwajima hamtumikii Mungu tunayemjua. Mungu wake ni tumbo lake.

Ni mjinga pekee ndiye anaweza kuwa muumini wa Gwajima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi huu Gwajima anaweza kuwa moja ya watu wachache ambao watai keep Chadema busy na kusahau uchaguzi wote (Kwa tabia yao ya kushambulia kila anayewagusa).
 
Bado ataalika waganga wote waje kanisani kwake kumsafisha lakini ngoma ni nzito mno!
 
Tehe tehe,Kura Ni Siri ...uzuri wetu ccm huwa tunakwenda moja kwa moja kwenye jembe na nyundo kwanza.Tupo 6 million Kati ya wapiga 12 million
Wapiga kura kwa mujibu wa NEC ni 29 million sasa toa hao wanachama wa CCM 6milioni unabaki na 23milioni wenye maamuzi huru kabisa
 
Yan watu wanavyomundama Gwajima Unadhani wao ni malaika na Hawali tunda kimasihara Ningekuwa kawe ningempa. Kura. Yangu maana kama Yale mambo kila mtu anafanyaga kwa muda wake Kwahyo hakuna jipya hapo la kuanza kumlaumu
 
Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema yeye na mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni ni mapacha.

Gwajima amesema hayo leo alipomkaribisha Abbas Tarimba Kanisani kwake na kumtambulisha kwa waumini wake ambao walimshangilia kwa nderemo na vigelegele.

Mchungaji Gwajima amesema yeye na Abbas Tarimba wameletwa na Mungu kuwatumikia wananchi wa Tanzania.

Chanzo: Eatv

My take: Mnaosema Gwajima ana chuki na waislamu soma hiyo!

Maendeleo hayana vyama.
Kweli Gwajima ana chuki na waislamu hapo anaigiza tu
 
Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema yeye na mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni ni mapacha.

Gwajima amesema hayo leo alipomkaribisha Abbas Tarimba Kanisani kwake na kumtambulisha kwa waumini wake ambao walimshangilia kwa nderemo na vigelegele.

Mchungaji Gwajima amesema yeye na Abbas Tarimba wameletwa na Mungu kuwatumikia wananchi wa Tanzania.

Chanzo: Eatv

My take: Mnaosema Gwajima ana chuki na waislamu soma hiyo!

Maendeleo hayana vyama.
Kwa hiyo haendi bungeni kupeleka muswada wa kubadili misikiti iwe sunday school?

Kumuamini Gwajiboy inabidi uwe na akilitope kichwani kwanza atuletee yule jamaa wa Tabora mbaye vyeti vyake vilitumiwa na Bashite kisha atufafanulie Askofu Pengo na yale maharage aliyokula.

Akishindwa kuthibitisha hayo atuambie ile kideo niaje? Alimkula au hajamkula kondoo yule!!?

Binafsi sioni tofauti ya Gwajiboy na Taa rimba!!

Nzi hukutana jalalani nk.
 
Huyo Askofu tapeli mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Gwajima na Tarimba wameshuswa na Mungu kuwatumikia wananchi? Acheni jokes
Dunia simama nishuke
 
Tarimba wa Sport Pesa [emoji3][emoji3] mbinguni ni mbali sana
Uislam unakataza kamari na riba... yeye ndio anahamasisha kisha "...wanataka watuaminishe kuwa kaalika muislamu kanisani anamtafutia kura!!!" Haya basi na amualike Sheikh Ponda au Sheikh Kishki ili wamsafishe vizuri!!!
 
Back
Top Bottom