uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Huyo ndo gwajiboy ninayemjua mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani weee nani!!??Utapeli kwa mgongo wa dini!
Kutumia nyumba za badala kufanya kampeni,ni kujimaliza kisiasa.
Huyu kura za Waislaumu hapati kabisa na hata za wakristo wa madhehubu mengine pia hatozipata kwani hawamuamini.
Gwajima alimwalika Tarimba ili wacheze kolabo ya zekomedi kwa ajili ya watu wenye ufahamu mdogo.Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema yeye na mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni ni mapacha.
Gwajima amesema hayo leo alipomkaribisha Abbas Tarimba Kanisani kwake na kumtambulisha kwa waumini wake ambao walimshangilia kwa nderemo na vigelegele.
Mchungaji Gwajima amesema yeye na Abbas Tarimba wameletwa na Mungu kuwatumikia wananchi wa Tanzania.
Chanzo: Eatv
My take: Mnaosema Gwajima ana chuki na waislamu soma hiyo!
Maendeleo hayana vyama.
Magufuli anachangisha michango ya msikiti kanisani,huku gwajima tapeli anasema Abbas ni pacha wake.Naona leo kuna moves kali kweli
Wanasisa wanaweza kuzikana imani zao
Wewe ni msemaji wa waislamu?!
Wewe ni msemaji wa waislamu?!
Sisi hatujasema ila yeye mwenyewe gwajima alidhihirisha hiloMchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema yeye na mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni ni mapacha.
Gwajima amesema hayo leo alipomkaribisha Abbas Tarimba Kanisani kwake na kumtambulisha kwa waumini wake ambao walimshangilia kwa nderemo na vigelegele.
Mchungaji Gwajima amesema yeye na Abbas Tarimba wameletwa na Mungu kuwatumikia wananchi wa Tanzania.
Chanzo: Eatv
My take: Mnaosema Gwajima ana chuki na waislamu soma hiyo!
Maendeleo hayana vyama.
Kuchanganya dini na siasa kuna maana pana bwashee!Siro ajitokeze atoe ufafanuzi aliyesema nyumba za ibada zisitumike kufanya siasa. Hapo hachanganyi dini na siasa?
Mchungaji anaona sifa kujifananisha na mchezesha kamari!!Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema yeye na mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni ni mapacha.
Gwajima amesema hayo leo alipomkaribisha Abbas Tarimba Kanisani kwake na kumtambulisha kwa waumini wake ambao walimshangilia kwa nderemo na vigelegele.
Mchungaji Gwajima amesema yeye na Abbas Tarimba wameletwa na Mungu kuwatumikia wananchi wa Tanzania.
Chanzo: Eatv
My take: Mnaosema Gwajima ana chuki na waislamu soma hiyo!
Maendeleo hayana vyama.
Tarimba master bettingMchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema yeye na mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni ni mapacha.
Gwajima amesema hayo leo alipomkaribisha Abbas Tarimba Kanisani kwake na kumtambulisha kwa waumini wake ambao walimshangilia kwa nderemo na vigelegele.
Mchungaji Gwajima amesema yeye na Abbas Tarimba wameletwa na Mungu kuwatumikia wananchi wa Tanzania.
Chanzo: Eatv
My take: Mnaosema Gwajima ana chuki na waislamu soma hiyo!
Maendeleo hayana vyama.
Ukizingatia kwamba Jimbo la Kawe linajumuisha maeneo Kama vile Msasani, Mikocheni, Ostebay, Makongo, Kunduchi, Wazo, Madale, Bunju, Tegeta, Boko, Mbweni, Mbezi Beach, Ununio na Mabwepande.
Ni sehemu za kishua sana kwa Dar na kuwashawishi hawa wapiga kura unahitaji kuwa smart sana.
Ukiangalia Mdee na Gwajima wapo smart kichwani haswa ukirejea hotuba zao na namna ya kujenga hoja.
Kashfa za Gwajima na uropokaji wake ndiyo kikwazo kwake.
Sasa inategemea na uwezo wake wa kuzifukia hizi kashfa na kusonga mbele kitu ambacho Ni kazi ngumu ikizingatiwa na muda Ni mchache.
Ila kimsingi mechi ya Kawe Ni ngumu