Askofu Gwajima asema yeye na Abbas Tarimba ni mapacha, amkaribisha kanisani kwake na kumpigia kampeni

Gwajima alimwalika Tarimba ili wacheze kolabo ya zekomedi kwa ajili ya watu wenye ufahamu mdogo.

but ukweli wenyewe ni huu hapa... enjoy!

 
Naona leo kuna moves kali kweli


Wanasisa wanaweza kuzikana imani zao
Magufuli anachangisha michango ya msikiti kanisani,huku gwajima tapeli anasema Abbas ni pacha wake.


Hii inanikumbusha maandamano ya maaskofu na wachungaji fake nyumbani kwa lowassa pale dodoma mwaka 2015 walipomfata kumuomba achukue fomu.
 
Sisi waswahili wanywa kahawa na kashata tumejibanza pembeni tu tunawasoma.
🤣
 
Sisi hatujasema ila yeye mwenyewe gwajima alidhihirisha hilo
 
Ukitaka moto uwake humu JF haya mambo yangefanyika Misikiti daaah.
 
Mchungaji anaona sifa kujifananisha na mchezesha kamari!!
Kwakweli tunamaaskofu waajabu sikuhizi!! Huyu kigeugeu alikuwa beneti na Lowassa sasa kageukia ukabila kisa msukuma mwenzie... Kawe hebu mwumbueni huyo mpiga makelele kuhubiri kwamaguvu majasho tee kuliko hata anayelima
 
Tarimba master betting
 
Kwani Tarimba naye ana mpango wa kugeuza Misikiti na Madrasa kuwa Makanisa kama Gwajima?
 
Haha mtifuano wa Mdee na Gwajima sio wa kukosa kabisa.
 

..kashfa yake kubwa ni ile ya kufufua wafu.

..mtu wa aina hiyo hana sifa za kuwa mbunge.
 
Gwajiboy na Tarimba Abbas ni business men.
Hawa wanafanana kwa hilo ndio sababu wameanza kuunganisha nguvu ya pammoja kwa malengo yanayofanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…