Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

Jambo la nchi ni Personal?, Ni sawa na yule mmarekani mweusi alivyo uawa ni jambo Personal? , Lumumba kweli mmechanganyikiwa.
Ubalozi umelaani tukio la kinyama. CCM na Magenge yenu mmekuwa na mihemko kila kona hapo ndio mnadhihirisha kuwa msiojulikana mnajulikana.
 

Ubalozi wa EU unawakilisha nchi zote za Ulaya Sweden,Italy ......
 
Leo gwajima kawa muhuni? Mshenga mliyekuwa mnamsifu kwa kumleta lowasa chadema na kumdharirisha Dr Slaa? Kuwa mpinzani Tanzania inabidi
matumizi ya akili uachane nayo!
Matendo yake ndiyo yanamuweka kwenye sifa ya uhuni.Mbasha anamlilia sana huyu mhuni.
 
Je aliposhiriki kumleta Lowasa chadema hukumsifu pia?
 
Je aliposhiriki kumleta Lowasa chadema hukumsifu pia?
Hata Lucifer awali alikuwa malaika mwema tena wa rank kubwa tu lakini alipoasi akawa shetani na adhabu ilikuwa palepale. Hata wewe kama ni mtu mwema leo kesho ukiiba utaitwa mwizi tu na utafungwa
 
Huyu malaya mbwa anamtumikia shetani
Yuko bize kupeleka mamilioni kuzimu. Gwajima ni shetani tu.
 
Huyo Gwajima na zile tuhuma zake zenye ushahidi mpaka wa video nani bado anamuamini mpaka leo?

Atakuwa na matatizo, ameuvaa ulimwengu zaidi ya kuwa kiongozi wa kiroho, bora nae atafute jimbo huko kwao akagombee, atabebwa na mwenzie.
Mimi na mwamini unajingine?
 
Huyu ni wakala wa shetani. Kama ni askofu basi ni askofu wa shetani!!
 
Kuna kitu natamani ningekituma humu lakini najua kitawavuruga Wahusika...ngoja nikae kimya
Hakuna kuchekeana sasa, mkuu nakufahamu wewe ni muungwana sana. Kama unaona uungwana wako utapotezwa nitumie PM nitaruka na hicho kitu bwana! Kama mbwai na iwe mbwai.
Sasa hivi hata ban hatuzijali lakini watu wa hovyo tutawaanika tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…