Kwenda zako huko! Angetoa maoni ya kuupongeza Ubalozi wa Marekani kwa tamko lao, ungemshutumu kuwa Gwajima aache kuchanganya Dini na Siasa.Huyu ni Mtanzania ana haki zote kuisemea nchi yake , Kwa upande wako Balozi wa Taifa jingine ana mamlaka gani ya kuhoji mambo ya ndani ya Taifa jingine au huji mipaka ya mabalozi?
Mhuni nani kamanda?Usilazimishe kuniwekea maneno ambayo sijawahi kuyaandika kuhusu huyo mhuni na tapeli.
Kipindi kile akiwa mshenga wenu wa kumleta Lowasa alikuwa mtumishi wa nani?Kuna Watumishi wa Mungu na kuna Watumishi wa Shetani ambao wamegeuza imani za watu kama mitaji au chanzo chao cha mapato(wajasiriamali wa kidini).
Ni jukumu lako kumtambua kiongozi wako wa kidini anaangukia kundi gani.
Mhuni nani kamanda?
Huyo aliyewasaidia CCM kusimamisha wagombea wawili wa URAIS au Huyo Mgombea aliyeingia dili na Mwamba?
Naona Mzee wa kiroho ameamua kuwafundisha Wamarekani Ujasusi - ama kweli Dunia ina mambo!!...Omba maisha marefu uzidi kushangaa!!Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.
Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi yake ambako askari wamemuua raia mwenye asili ya Afrika kinyama kabisa.
Askofu Gwajima amewataka Watanzania kuwa macho na mabeberu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.
Chanzo: TBC Aridhio!
Kama kweli kasema basi atakuwa mpumbavu hasa, Marekani siyo Kenya au Congo, the entire world lies under the wings of AmericaAkizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.
Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi yake ambako askari wamemuua raia mwenye asili ya Afrika kinyama kabisa.
Askofu Gwajima amewataka Watanzania kuwa macho na mabeberu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.
Chanzo: TBC Aridhio!
[emoji115]Hapo ulipo unatumia vidonge vya ARV ambavyo vinanunuliwa kwa msaada wa pesa kutoka Marekani, vinginevyo ungekufa wewe BwegeSafi sana, nimekuwa nikitafakari huu ubalozi wa Marekani nchini mwetu Nabaki kushangaa, inafikia kipindi wanaanza kuzungumzia mambo personal ya nchi yetu
Mbona sioni ubalozi wa China, Italy, Sweden, Norway nk ukijihusisha na mambo yetu?
Mtumishi wa mungu ndugu Gwajima kaona mbali, Mungu ambariki sana
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mkuu jifunze kuheshimu mawazo ya wale wote unaodhani wako tofauti na vile wewe unaamimi,[emoji115]Hapo ulipo unatumia vidonge vya ARV ambavyo vinanunuliwa kwa msaada wa pesa kutoka Marekani, vinginevyo ungekufa wewe Bwege
Mkumbusheni video prndwa naye atanyamaza kimyaKuna Watumishi wa Mungu na kuna Watumishi wa Shetani ambao wamegeuza imani za watu kama mitaji au chanzo chao cha mapato(wajasiriamali wa kidini).
Ni jukumu lako kumtambua kiongozi wako wa kidini anaangukia kundi gani.
Mkuu naona Jukwaa la NBA Limepoa sana kulikoniMkuu huyu si Mtumishi wa Mungu ni mhuni na tapeli tu.
Mkuu naona Jukwaa la NBA Limepoa sana kulikoni
Hivi Tz kuna groups zozote za whatsapp za NBA?Hakuna games tangu mid March kutokana na covid-19 wataanza tena July 31, 2020.
Hivi Tz kuna groups zozote za whatsapp za NBA?
Juzi wakati natoka kwenye mall moja hapa Atlanta nikamuona mdogo wako HT, nikasema ngoja nimsalimie mwenzetu wa Sinza, nikamfuata nikamwambia hashim mambo vipi hbari ya siku πππ daaaah dogo kanipotezea utafikiri kakutana na aliemuua Marehemu George, nikamwangalia nikaachana naeSijui chochote kuhusu hili Mkuu.
Juzi wakati natoka kwenye mall moja hapa Atlanta nikamuona mdogo wako HT, nikasema ngoja nimsalimie mwenzetu wa Sinza, nikamfuata nikamwambia hashim mambo vipi hbari ya siku πππdaaaah dogo kanipotezea utafikiri kakutana na aliemuua Marehemu George, nikamwangalia nikaachana nae