#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

Kitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
kwani serikali si ilisema kuchanja ni hiari,mbona sasa wao wanajiona wana haki ya kuhamasisha watu wachanje,kwanini wengine wakihamasha watu wasichanje mwawapiga mikwara
 
Pimbi mimi au huyo mpumbavu mwenzako unayemtetea! Alivyokuwa msukuma mwenzake kila kitu alikuwa anasifia kama shoga anayemsifia bwana wake.
uko biased sana sio ukabila sio udini.
 
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Usituletee ujinga wa kidini, anatukanwa Mungu sembuse mwanadamu.
 
Afifiro Amegawa Dose Yake Ila Hataki Johnson And Johnson 😂😁
 
Mbowe Ni mkristu na amepewa kesi ya Ugaidi.

mbona walipokamatwa masheikh wa uamsho hamkupiga kelele mitandaoni waachiwe. mbowe ana wiki ndani kelele kama yote. ebu mwacheni mbowe akae miaka 6 jela ndio mseme bado mapema
 
View attachment 1893352

"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"

Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!

My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.
Tunaelekea kuzuri....
 
Siungani na gwajima ila pia siendi kichanjwa kizembe zembe, #zakuambiwachanganyanazako
 
mbona walipokamatwa masheikh wa uamsho hamkupiga kelele mitandaoni waachiwe. mbowe ana wiki ndani kelele kama yote. ebu mwacheni mbowe akae miaka 6 jela ndio mseme bado mapema
Kumbe Ni mambo hivyo? Takbiiiir, kibiti na mozambique😁😁😁😁
 
Gwajima hana adabu na anadharau kwa mamalaka uliyopo .Yeye kama haitaki chanjo si anayamaze kimya .Mbona wengi tu wamenyamaza kwani unafikiria wanataka chanjo.Rais Samia deal na hii takataka kabisa lazima akuheshimu hata kama anamtazamo has ya unavyofanya.
 
Huu mtanange unahitaji kuchochea kuni zaidi ili waanze kulana wao kwa wao
 
Alichofanya samia kama president ni kuruhusu chanjo kwa hiyari ya mtu,ukitaka sikiliza wataalam kachanje,hutak msikilize gwajima usichanje Ili ukifa ukauone ufalme wa milele,the choice is yours..kusuka au kunyoa
 
Uhuru ni wa maoni sio facts, huwezi kusema soda za Coca Cola zina sumu halafu useme ni uhuru wa maoni.

Kusema viongozi wamechoma chanjo feki ni factual matter. Akitakiwa athibitishe ataweza?
Kwan yule afisa elim sijui Arusha mbona alichoma feki?? Unataka kusema sio kiongozi yule?
 
Back
Top Bottom