Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Duh..!"Siku za mwanadamu zinapangwa na Mungu, zikiisha zimeisha, hata kama ungetibiwa na watu milioni moja, zikiisha zimeisha. Siku zako kabla hazijaisha, wakuwinde na vyombo vya ajabu hautapatikana", - Ask. Gwajima.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza katika Ibada kanisani kwake mwishoni mwa wiki.
Ongezea na alijificha.... mhuni na tapeli sana huyo jamaa 🤣ila amepoa
usinichonganishe na wafuasi wa gwaji boi tafadhari😆😆😆😆Ongezea na alijificha.... mhuni na tapeli sana huyo jamaa 🤣
jambo jipya kwa gwajima zaidi ya kujisifu, hua ni makelele tu. Na waamini wake walivyokosa maarifa wanashangilia tu"Siku za mwanadamu zinapangwa na Mungu, zikiisha zimeisha, hata kama ungetibiwa na watu milioni moja, zikiisha zimeisha. Siku zako kabla hazijaisha, wakuwinde na vyombo vya ajabu hautapatikana", - Ask. Gwajima.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza katika Ibada kanisani kwake mwishoni mwa wiki.