THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Friends and our Enemies,
Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo...
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima..
Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku akiwahutubia na mwishowe kujifanya eti anauliza kama kuna maswali kwake na ili hali anajua fika kuwa alikuwa anazungumza na ukuta ujue TAAABANI HAPOOO...YANI MAJI YAMESHAFIKA SHINGONI.
Na nyinyi ambao mnamtetea Gwajima hivi mna akili timamu kweli?badala ya kushukuru kuwa hatimae biashara yake haramu ya kutapeli watu maskini kwa mgongo wa dini kwa kujifanya anafufua wafu imekufa rasmi mnakaa kumtetea,ili iweje?
TOKEA LINI MNYAKYUSA AKAWEZA KUFUFUA WAFU WALIOKUFA,KUPONYA VIPOFU NA WALEMAVU??HUYO NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE TUH..
Ameingia kwenye mtego kama alivyoingia Lisu na amenasa hachomoki hapo na yeye mwenyewe anajua.
Tunachotaka kumweleza Gwajima,wafuasi wake na watetezi wake ni kwamba biashara imeshaisha hapooo,biashara ya kutapeli watu imeshaisha..it was just a matter of time,so aache kutapa tapa...atafute ujasiriamali mwingine kwa maana hata huko CCM kwenyewe hana chake.