Askofu Gwajima biashara imeisha hiyo, tumia muda huu kutafuta ujasiriamali mwingine

Kelele zinaashiria kuwa Gwajima kawashika pabaya msipotaka watu waguse,Nape alisema ukweli akanyang'anywa uwaziri,DC naye kajifanya mtu wa Mungu kwa kusema ukweli akapoteza UDC wake.msema ukweli na mnyoofu ni adui wa CCM.
 
Friends and our Enemies,

Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo...

Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima..

Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku akiwahutubia na mwishowe kujifanya eti anauliza kama kuna maswali kwake na ili hali anajua fika kuwa alikuwa anazungumza na ukuta ujue TAAABANI HAPOOO...YANI MAJI YAMESHAFIKA SHINGONI.

Na nyinyi ambao mnamtetea Gwajima hivi mna akili timamu kweli?badala ya kushukuru kuwa hatimae biashara yake haramu ya kutapeli watu maskini kwa mgongo wa dini kwa kujifanya anafufua wafu imekufa rasmi mnakaa kumtetea,ili iweje?

TOKEA LINI MNYAKYUSA AKAWEZA KUFUFUA WAFU WALIOKUFA,KUPONYA VIPOFU NA WALEMAVU??HUYO NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE TUH..

Ameingia kwenye mtego kama alivyoingia Lisu na amenasa hachomoki hapo na yeye mwenyewe anajua.

Tunachotaka kumweleza Gwajima,wafuasi wake na watetezi wake ni kwamba biashara imeshaisha hapooo,biashara ya kutapeli watu imeshaisha..it was just a matter of time,so aache kutapa tapa...atafute ujasiriamali mwingine kwa maana hata huko CCM kwenyewe hana chake.
Ni declare interest mimi Muislamu na ninaweza ju kuitaja family tree yangu toka Pangani, Tanganyika kuanzia Karne ya 16.
Wewe na Bakwata yenu ni mzigo na kamba ya kutunyongea nchi hii Samia sio suluhu ya sisi kuwepo nchi hii karne nne zilizopita kabla ya manasara na wa kwanza kuitafsiri biblia
Ukombozi wetu hatuletwa Msoga wala Kizimkazi ,endelea kusubiri mbuzi ,tende mabaki ya Hijja ukaishia kumtukana Gwajima huku mama yako akipata baraka za Mwamposya.
 
Wewe hayo makanisa elfu mbili umeyaona wapi??

Muhuni tuh yule
Mkuu kweli Gwajima na viongozi wenzake watakua matapeli kweli na wanatabia ya kutokutofautisha kati ya Dini na mambo mengine, Mfans Kuna rafiki yangu anafanya kazi kwenye kampuni sasa kuna huyo Manager wao ni kiongozi wa Kanisa la Gwajima kule Zanzibar sasa huyo Manager anatabia ya kutangza nafasi za kazi kanisa anaposalisha kwa Waumini wake na akisha waajiri kazini, anaanza kufanya ubaguzi kwakutumia kanisa kama wewe mfanyakazi ni muumini wake au unatoa sadaka na fungu la kumi unakua unapendelewa kazini na unakua na kiburi kwa wenzako. Mfano muumini wake akiwanashida anamsaidia Mara moja ila kama wewe siyo muumini wake na hutoi fungu la kumi kusaidiwa ni ngumu, na kaanzisha mpango wa kuwafukuza kazi wafanyakazi ambao siyo waumini wake ili kuajiri waumini wake ili kanisani waumini wawe wengi. Nasikia ofisini amepageuza kanisa na ofisi ina wafanyakazi wenye imani tofauti kuna waislam, Lutheran, Catholic, Wasabato, ila yeye hajali hilo.
 
Tusaidieni kumwambia gwajima awe mstaarabu,kama hana biashara nyingine ajifunze hata Aviator...aache uoga wa maisha na utapeli huyo.
Huo ujinga kamwambie yule Tapeli wa Kawe alieitapeli Serikali ikampa hela za Hema
 
Mkuu kweli Gwajima na viongozi wenzake watakua matapeli kweli na wanatabia ya kutokutofautisha kati ya Dini na mambo mengine, Mfans Kuna rafiki yangu anafanya kazi kwenye kampuni sasa kuna huyo Manager wao ni kiongozi wa Kanisa la Gwajima kule Zanzibar sasa huyo Manager anatabia ya kutangza nafasi za kazi kanisa anaposalisha kwa Waumini wake na akisha waajiri kazini, anaanza kufanya ubaguzi kwakutumia kanisa kama wewe mfanyakazi ni muumini wake au unatoa sadaka na fungu la kumi unakua unapendelewa kazini na unakua na kiburi kwa wenzako. Mfano muumini wake akiwanashida anamsaidia Mara moja ila kama wewe siyo muumini wake na hutoi fungu la kumi kusaidiwa ni ngumu, na kaanzisha mpango wa kuwafukuza kazi wafanyakazi ambao siyo waumini wake ili kuajiri waumini wake ili kanisani waumini wawe wengi. Nasikia ofisini amepageuza kanisa na ofisi ina wafanyakazi wenye imani tofauti kuna waislam, Lutheran, Catholic, Wasabato, ila yeye hajali hilo.
Hii kweli ni Lech Poznan una uhakika hii ni Lech Poznan?
 
Friends and our Enemies,

Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo...

Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima..

Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku akiwahutubia na mwishowe kujifanya eti anauliza kama kuna maswali kwake na ili hali anajua fika kuwa alikuwa anazungumza na ukuta ujue TAAABANI HAPOOO...YANI MAJI YAMESHAFIKA SHINGONI.

Na nyinyi ambao mnamtetea Gwajima hivi mna akili timamu kweli?badala ya kushukuru kuwa hatimae biashara yake haramu ya kutapeli watu maskini kwa mgongo wa dini kwa kujifanya anafufua wafu imekufa rasmi mnakaa kumtetea,ili iweje?

TOKEA LINI MNYAKYUSA AKAWEZA KUFUFUA WAFU WALIOKUFA,KUPONYA VIPOFU NA WALEMAVU??HUYO NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE TUH..

Ameingia kwenye mtego kama alivyoingia Lisu na amenasa hachomoki hapo na yeye mwenyewe anajua.

Tunachotaka kumweleza Gwajima,wafuasi wake na watetezi wake ni kwamba biashara imeshaisha hapooo,biashara ya kutapeli watu imeshaisha..it was just a matter of time,so aache kutapa tapa...atafute ujasiriamali mwingine kwa maana hata huko CCM kwenyewe hana chake.
Naona vita kati ya Allaha na YAHWE.
Kanisa ni hekalu la Roho Mtakatifu.
Kushindana na kanisa ni kushindana na Roho Mtakatifu.
Gwajima atapita ila Kanisa la MUNGU halitapita.
 
Kelele zinaashiria kuwa Gwajima kawashika pabaya msipotaka watu waguse,Nape alisema ukweli akanyang'anywa uwaziri,DC naye kajifanya mtu wa Mungu kwa kusema ukweli akapoteza UDC wake.msema ukweli na mnyoofu ni adui wa CCM.
Shetani ni baba wa uongo.
Shetani hapendi ukweli kamwe.
CCM ni waongo kupindukia.
CCM ni baba wa uongo.
CCM ni ......
 
Friends and our Enemies,

Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo...

Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima..

Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku akiwahutubia na mwishowe kujifanya eti anauliza kama kuna maswali kwake na ili hali anajua fika kuwa alikuwa anazungumza na ukuta ujue TAAABANI HAPOOO...YANI MAJI YAMESHAFIKA SHINGONI.

Na nyinyi ambao mnamtetea Gwajima hivi mna akili timamu kweli?badala ya kushukuru kuwa hatimae biashara yake haramu ya kutapeli watu maskini kwa mgongo wa dini kwa kujifanya anafufua wafu imekufa rasmi mnakaa kumtetea,ili iweje?

TOKEA LINI MNYAKYUSA AKAWEZA KUFUFUA WAFU WALIOKUFA,KUPONYA VIPOFU NA WALEMAVU??HUYO NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE TUH..

Ameingia kwenye mtego kama alivyoingia Lisu na amenasa hachomoki hapo na yeye mwenyewe anajua.

Tunachotaka kumweleza Gwajima,wafuasi wake na watetezi wake ni kwamba biashara imeshaisha hapooo,biashara ya kutapeli watu imeshaisha..it was just a matter of time,so aache kutapa tapa...atafute ujasiriamali mwingine kwa maana hata huko CCM kwenyewe hana chake.
Pamoja na makando kando ya gwajima, issues ya utekaji naupotezwaji wa rais ipo yaani ni halisi. Ktk hili nasimamia naye.
Amini nakwambia serekali na mamlaka zake hazikerwi na janja janja za akina gwajima et- al, kuulaghai umma. Ndo maana hawakuwahi kuwafungia huduma zao.
Kanisa la gwajima limefungwa kwasababu gwajima wameitaka serekali iwajibike kukomeshwa matukio ya raia kutekwa na kupotezwa.
 
Biashara imeshaisha paleee,biashara imeshaisha
 
Mwanaume kuandika "TUH" instead of "tu" ni dhalili za kichoko, unachokonolewa
Unaependa kuchokonolewa kama yeye ni hodari hadi wa kufaham tabia zenu zikoje,hadi miandiko ya kichoko unaijua??

Beki hazikabi hapoo,umeisha dada poa
 
Back
Top Bottom