THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
- Thread starter
- #41
Nenda october kapige kura uwatoe,usiwasusie siyo dawa.😁😁
Chama Dola!
No reforms no election
Nenda october kapige kura uwatoe,usiwasusie siyo dawa.😁😁
Chama Dola!
No reforms no election
Basi kamsaidie kanisa lake lirudi,njaa mjini hapa.Wewe humuwezi Gwajima hata ukitumia majini yote ya kiarabu
Vip ulimdaka na madawa? Kesi inaendeleaje?IPi kuuza madawa kama alivyokadakwa na bashite??
Ni declare interest mimi Muislamu na ninaweza ju kuitaja family tree yangu toka Pangani, Tanganyika kuanzia Karne ya 16.Friends and our Enemies,
Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo...
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima..
Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku akiwahutubia na mwishowe kujifanya eti anauliza kama kuna maswali kwake na ili hali anajua fika kuwa alikuwa anazungumza na ukuta ujue TAAABANI HAPOOO...YANI MAJI YAMESHAFIKA SHINGONI.
Na nyinyi ambao mnamtetea Gwajima hivi mna akili timamu kweli?badala ya kushukuru kuwa hatimae biashara yake haramu ya kutapeli watu maskini kwa mgongo wa dini kwa kujifanya anafufua wafu imekufa rasmi mnakaa kumtetea,ili iweje?
TOKEA LINI MNYAKYUSA AKAWEZA KUFUFUA WAFU WALIOKUFA,KUPONYA VIPOFU NA WALEMAVU??HUYO NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE TUH..
Ameingia kwenye mtego kama alivyoingia Lisu na amenasa hachomoki hapo na yeye mwenyewe anajua.
Tunachotaka kumweleza Gwajima,wafuasi wake na watetezi wake ni kwamba biashara imeshaisha hapooo,biashara ya kutapeli watu imeshaisha..it was just a matter of time,so aache kutapa tapa...atafute ujasiriamali mwingine kwa maana hata huko CCM kwenyewe hana chake.
Mwamposa tapeli la matapeli.KUFUFUA watu usimsingizie Gwajima, Hata Yesu na Mwamposa wanaweza kufufua
Mkuu kweli Gwajima na viongozi wenzake watakua matapeli kweli na wanatabia ya kutokutofautisha kati ya Dini na mambo mengine, Mfans Kuna rafiki yangu anafanya kazi kwenye kampuni sasa kuna huyo Manager wao ni kiongozi wa Kanisa la Gwajima kule Zanzibar sasa huyo Manager anatabia ya kutangza nafasi za kazi kanisa anaposalisha kwa Waumini wake na akisha waajiri kazini, anaanza kufanya ubaguzi kwakutumia kanisa kama wewe mfanyakazi ni muumini wake au unatoa sadaka na fungu la kumi unakua unapendelewa kazini na unakua na kiburi kwa wenzako. Mfano muumini wake akiwanashida anamsaidia Mara moja ila kama wewe siyo muumini wake na hutoi fungu la kumi kusaidiwa ni ngumu, na kaanzisha mpango wa kuwafukuza kazi wafanyakazi ambao siyo waumini wake ili kuajiri waumini wake ili kanisani waumini wawe wengi. Nasikia ofisini amepageuza kanisa na ofisi ina wafanyakazi wenye imani tofauti kuna waislam, Lutheran, Catholic, Wasabato, ila yeye hajali hilo.Wewe hayo makanisa elfu mbili umeyaona wapi??
Muhuni tuh yule
Huo ujinga kamwambie yule Tapeli wa Kawe alieitapeli Serikali ikampa hela za HemaTusaidieni kumwambia gwajima awe mstaarabu,kama hana biashara nyingine ajifunze hata Aviator...aache uoga wa maisha na utapeli huyo.
Hii kweli ni Lech Poznan una uhakika hii ni Lech Poznan?Mkuu kweli Gwajima na viongozi wenzake watakua matapeli kweli na wanatabia ya kutokutofautisha kati ya Dini na mambo mengine, Mfans Kuna rafiki yangu anafanya kazi kwenye kampuni sasa kuna huyo Manager wao ni kiongozi wa Kanisa la Gwajima kule Zanzibar sasa huyo Manager anatabia ya kutangza nafasi za kazi kanisa anaposalisha kwa Waumini wake na akisha waajiri kazini, anaanza kufanya ubaguzi kwakutumia kanisa kama wewe mfanyakazi ni muumini wake au unatoa sadaka na fungu la kumi unakua unapendelewa kazini na unakua na kiburi kwa wenzako. Mfano muumini wake akiwanashida anamsaidia Mara moja ila kama wewe siyo muumini wake na hutoi fungu la kumi kusaidiwa ni ngumu, na kaanzisha mpango wa kuwafukuza kazi wafanyakazi ambao siyo waumini wake ili kuajiri waumini wake ili kanisani waumini wawe wengi. Nasikia ofisini amepageuza kanisa na ofisi ina wafanyakazi wenye imani tofauti kuna waislam, Lutheran, Catholic, Wasabato, ila yeye hajali hilo.
Hili neno KOBAZI aliebuni alitisha sana 😀Kobazi katika ubora wako!
Ubwabwa wa hitma wapi leo niandae kanzu na ndizi zangu?
Naona vita kati ya Allaha na YAHWE.Friends and our Enemies,
Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo...
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima..
Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku akiwahutubia na mwishowe kujifanya eti anauliza kama kuna maswali kwake na ili hali anajua fika kuwa alikuwa anazungumza na ukuta ujue TAAABANI HAPOOO...YANI MAJI YAMESHAFIKA SHINGONI.
Na nyinyi ambao mnamtetea Gwajima hivi mna akili timamu kweli?badala ya kushukuru kuwa hatimae biashara yake haramu ya kutapeli watu maskini kwa mgongo wa dini kwa kujifanya anafufua wafu imekufa rasmi mnakaa kumtetea,ili iweje?
TOKEA LINI MNYAKYUSA AKAWEZA KUFUFUA WAFU WALIOKUFA,KUPONYA VIPOFU NA WALEMAVU??HUYO NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE TUH..
Ameingia kwenye mtego kama alivyoingia Lisu na amenasa hachomoki hapo na yeye mwenyewe anajua.
Tunachotaka kumweleza Gwajima,wafuasi wake na watetezi wake ni kwamba biashara imeshaisha hapooo,biashara ya kutapeli watu imeshaisha..it was just a matter of time,so aache kutapa tapa...atafute ujasiriamali mwingine kwa maana hata huko CCM kwenyewe hana chake.
Nisaidie connection Mwamposa amfufue mpenzi wanguKUFUFUA watu usimsingizie Gwajima, Hata Yesu na Mwamposa wanaweza kufufua
Kassim majaliwa
Hilo hatakaa akupe majibu ya kueleweka huyo.Askofu amesikia, turudi huku...
![]()
Hivi Chuo kikuu cha Waislamu Morogoro kimezalisha vyuo vikuu vishiriki kama SAUT na Tumaini ?
Nauliza tu maana nipo hapa Ntwara kwa akina THE BIG SHOW nimekuta Chuo cha SAUT Na Imani MMU nao watamheshimisha hayati Nkapa kwa kujenga vyuo vikuu vishiriki nchi nzima Ahsanteni sana 😁www.jamiiforums.com
Shetani ni baba wa uongo.Kelele zinaashiria kuwa Gwajima kawashika pabaya msipotaka watu waguse,Nape alisema ukweli akanyang'anywa uwaziri,DC naye kajifanya mtu wa Mungu kwa kusema ukweli akapoteza UDC wake.msema ukweli na mnyoofu ni adui wa CCM.
Pamoja na makando kando ya gwajima, issues ya utekaji naupotezwaji wa rais ipo yaani ni halisi. Ktk hili nasimamia naye.Friends and our Enemies,
Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo...
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima..
Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku akiwahutubia na mwishowe kujifanya eti anauliza kama kuna maswali kwake na ili hali anajua fika kuwa alikuwa anazungumza na ukuta ujue TAAABANI HAPOOO...YANI MAJI YAMESHAFIKA SHINGONI.
Na nyinyi ambao mnamtetea Gwajima hivi mna akili timamu kweli?badala ya kushukuru kuwa hatimae biashara yake haramu ya kutapeli watu maskini kwa mgongo wa dini kwa kujifanya anafufua wafu imekufa rasmi mnakaa kumtetea,ili iweje?
TOKEA LINI MNYAKYUSA AKAWEZA KUFUFUA WAFU WALIOKUFA,KUPONYA VIPOFU NA WALEMAVU??HUYO NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE TUH..
Ameingia kwenye mtego kama alivyoingia Lisu na amenasa hachomoki hapo na yeye mwenyewe anajua.
Tunachotaka kumweleza Gwajima,wafuasi wake na watetezi wake ni kwamba biashara imeshaisha hapooo,biashara ya kutapeli watu imeshaisha..it was just a matter of time,so aache kutapa tapa...atafute ujasiriamali mwingine kwa maana hata huko CCM kwenyewe hana chake.
Biashara imeshaisha paleee,biashara imeshaishaPamoja na makando kando ya gwajima, issues ya utekaji naupotezwaji wa rais ipo yaani ni halisi. Ktk hili nasimamia naye.
Amini nakwambia serekali na mamlaka zake hazikerwi na janja janja za akina gwajima et- al, kuulaghai umma. Ndo maana hawakuwahi kuwafungia huduma zao.
Kanisa la gwajima limefungwa kwasababu gwajima wameitaka serekali iwajibike kukomeshwa matukio ya raia kutekwa na kupotezwa.
Unaependa kuchokonolewa kama yeye ni hodari hadi wa kufaham tabia zenu zikoje,hadi miandiko ya kichoko unaijua??Mwanaume kuandika "TUH" instead of "tu" ni dhalili za kichoko, unachokonolewa