THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
IPi kuuza madawa kama alivyokadakwa na bashite??Well kwa wale wanaomjua ana biashara zake mjini zaidi hiyo.
Na wewe unakubali kabisa kuwa mnyakyusa anaweza kufufua wafu?KUFUFUA watu usimsingizie Gwajima, Hata Yesu na Mwamposa wanaweza kufufua
Biashara imeshaisha ileeeeKelele za nini?
Siwezi kubisha maana ninashuhuda za watu kufufuka KWA jina la Yesu. Huwezi KUWA mtu wa imani alafu ukatae uwezo wa Mungu kumfufua yeyote anayemtaka. Ni sawa na kusema maiti INANGUVU kuliko Mungu.Na wewe unakubali kabisa kuwa mnyakyusa anaweza kufufua wafu?
Ya maharage auBiashara imeshaisha ileeee
UMESAHAU NILETEENI GWAJIMAA...Utapeli wa kidini?
Kwa hiyo Ccm ilipitisha jina la tapeli kuwa mbunge wa KAWE?
Eleza tofauti kati ya MWAMPOSA vs Gwajima
Mzee wa UPAKO VS Gwajima.
Kwahiyo raisi alienda pale kawe kuzindua hema/kanisa la tapeli?
ULIANZA KUJUA LINI HUU UTAPELI WA GWAJIMA?
kutapeli kufufua wafuYa maharage au
Kobazi katika ubora wako!Friends and our Enemies,
Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo...
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima..
Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku akiwahutubia na mwishowe kujifanya eti anauliza kama kuna maswali kwake na ili hali anajua fika kuwa alikuwa anazungumza na ukuta ujue TAAABANI HAPOOO...YANI MAJI YAMESHAFIKA SHINGONI.
Na nyinyi ambao mnamtetea Gwajima hivi mna akili timamu kweli?badala ya kushukuru kuwa hatimae biashara yake haramu ya kutapeli watu maskini kwa mgongo wa dini kwa kujifanya anafufua wafu imekufa rasmi mnakaa kumtetea,ili iweje?
TOKEA LINI MNYAKYUSA AKAWEZA KUFUFUA WAFU WALIOKUFA,KUPONYA VIPOFU NA WALEMAVU??HUYO NI TAPELI KAMA MATAPELI WENGINE TUH..
Ameingia kwenye mtego kama alivyoingia Lisu na amenasa hachomoki hapo na yeye mwenyewe anajua.
Tunachotaka kumweleza Gwajima,wafuasi wake na watetezi wake ni kwamba biashara imeshaisha hapooo,biashara ya kutapeli watu imeshaisha..it was just a matter of time,so aache kutapa tapa...atafute ujasiriamali mwingine kwa maana hata huko CCM kwenyewe hana chake.
Taja mbunge wa ccm ambaye hakupita kwa mabavu hapo 2020UMESAHAU NILETEENI GWAJIMAA...
HUYO HAKUPITSHWA NA CHAMA,HUYO ALIPITISHWA NA MTU KWA MABAVU,NA CHADEMA WALIMSHINDA PALE KAWE AKAINGIZWA BUNGENI KWA NGUVU,SEMA KWA KUWA ALIINGIZWA NA JAMAA YENU,MMEJITIA KUFUMBA MACHO UOZO KAMA ULE
Taabani pale,mwambieni awe.mstaarabu gwajimaMtoa mada kitoe icho kigunzi matakoni
Kassim majaliwaTaja mbunge wa ccm ambaye hakupita kwa mabavu hapo 2020
Nami nitakupa ushahidi wa wizi wa kura ulivyofanywa na ccm nchi nzima hii
Kwa mwamposaKobazi katika ubora wako!
Ubwabwa wa hitma wapi leo niandae kanzu na ndizi zangu?