Askofu Gwajima biashara imeisha hiyo, tumia muda huu kutafuta ujasiriamali mwingine

Askofu amesikia, turudi huku...
 
Naunga mkono hoja
 
Vipi kuhusu nabii wenu mwamposa, yeye biashara inaisha lini?
 
Tapeli ana makanisa elf mbili haha

Jaribu na wewe
 
Hivi ulishia darasa la ngapi mkuu, samahani lakini
Nilifikia level ya uparoko,lakini ilipofika stage kuwa eti sitakiwi kuoa na mimi mashine inadinda vizuri nikapiga chini...

Nikaamua kuanza kuuza mkaa huku tandika.
 
Inawezakana kweli Gwajima ni tapeli, vipi kuhusu utapeli wa CCM mkuu
 
Ukiondoa hayo ya nyuma ambayo mliyafumbia macho. Je kwa sasa hoja yake juu ya kutekwa watu na kuuliwa. Pia ya reforms
Wapi amekosea ?!.
Kwamba Ccm na serikali yake ni malaika wasiambiwe mapungufu yao !!

Challenge hoja zake za sasa si vinginevyo
 
Alikuwa wapi kipindi chote hiko aje aseme leo?

Mwendazake alishaulizwa kuhusu katiba na reforms akasema siyo kipaombele chake,mbona mlifyta mkia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…