#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

Wawafukuze tu wananchi tumeshamuelewa hawa ndo wanamuenzi Magufuli kwa vitendo aliyesema Chanjo hazifai.

2025 tuna letu Jambo,ndo watajua nguvu ya JPM japo alipitiwa na Israel akamtwaa.
Huyo jiwe wenu atawaponza wajinga wengi.
 
Yesu akamwambia, “Yeyote anayeshika jembe tayari kulima na huku anaangalia nyuma, hafai kwa ufalme wa Mungu.”
Mwanamume msimamo, hakuna kuyumba yumba kisa tumbo au chakula. Maana tumbo na chakula vitatoweshwa vyote.
 
Safi,sio kubadilika badilika kila awamu mpya.
 
Ningemwamini Gwajima kama mtumishi wa Mungu, kama asingi shiriki uharamia na yule haramia mkuu aliye shirikisna nae kuiba madaraka.
 
Tafiti zipi? Chanjo hazijafanyiwa hata clinical trials....

Hakuna clinical trial ya wanyama, hakuna clinical trial ya group sample ya watu wachache.... makundi kwa makundi...

Yaani makemikali yametengenezwa tu kiwandani halafu ghafla bin vuu mnaambiwa wote nchi nzima mtege mabega mdungwe.

Ah wapiii! Thubutu yenu!
Usikariri sayansi , Kila siku kinavumbulia kitu na mbinu mpya na teknolijia inazidi kukua
Mbinu na njia zilizotumika kupata chanjo Karne ya kumi nane siyo lazima ziwe hizo hizo ingawa kanuni inaweza kuwa moja
 
Huu mchezo unaochezwa na Chama hauna msaada.. Huu muda wautumie kutafakari namna ya kuandika Katiba mpya.. itafika muda itakosekana njia ya kuwapoteza watu
 
Back
Top Bottom