#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

Nadhani hiyo asilimia inazidi kushuka siku hadi siku. Kwenye group langu la whtsapp watu walikuwa hawataki kabisa kusikia kuhusu chanjo. Mimi niliwaweka wazi kuwa nimeshachanja na nilikuwa nawajibu hizo hoja za Gwajima plus na baadhi ya clip mbalimbali za wataalamu. Kidogo kidogo wakaanza kuelimika. Hivi sasa kuna watu zaidi ya kumi wameshachanja na wengi zaidi wameahidi kuchanja wakipata nafasi.
Hivyo naamini watu wanaelewa sasa.

Nashauri elimu iendelee kutolewa ili mtu anapoamua kuchanja au la awe na hakika na maamuzi yake.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sawa...kwangu Mimi hata wachache waliochanja wanajutia kuchanjwa wanaishi kwa hofu
 
Sasa naamini ni kweli Fl. Mbcxsha alitafunwa na huyu Gwajiboy pornstar Kinyonga.
Hata ile clip.nyingine iliyofichwa ni yeye.

Kenge sana. Kwani asipochanja yeye ndio mwisho wa dunia !!!
Gwajima anatakiwa apate akitakacho haraka sana
 
Yesu akamwambia, “Yeyote anayeshika jembe tayari kulima na huku anaangalia nyuma, hafai kwa ufalme wa Mungu.”
Mwanamume msimamo, hakuna kuyumba yumba kisa tumbo au chakula. Maana tumbo na chakula vitatoweshwa vyote.
Nimekuelewa bwashee!
 
Ooohh....

Kwahiyo sasa hivi makemikali yakishatengenezwa kiwandani basi moja kwa moja unaenda kudunga watu?

I like that technology! Fantastic!
Hayo umeyatoa wapi ?
Unajua maana ya makemikali ? Pata muda wa kujielimisha usikaririshwe na watu waliokariri maarifa ya karne ya kumi nane
 
Sawa...kwangu Mimi hata wachache waliochanja wanajutia kuchanjwa wanaishi kwa hofu
Mimi nimechanja, kwanini niwe na hofu? Najiona niko huru zaidi kuliko kipindi nikiwa sijachanja.
Ila naamimi kuna siku utapata elimu sahihi, utabaki unajicheka akili yako ilivyokuwa kabla.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sasa mnamlisha maneno Gwajiboy.
Weka clip.
Tumeambiwa chanjo ni hiari sasa povu la nini? Je waliochanjwa wasipodhurika mtasema nini? Yasemwayo na kutisha ni kwa kuwa hatuna elimu ya kutosha kuhusu chanjo hizo. Tumetanguliza hisia hasi na kuona giza nene mbele yetu. Kila mtu ana wajibu wa kulinda uhai wake. Tusilazimishane kuchanja au kutochanja, kila abiria achunge mzigo wake!
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Huyu chalii gwajiboy anapenda kuongelewa sana, kama havhomi chanjo ni uamuzi wake sio kitu cha kuzungumza mwaka mzima, kila mtu ana maamuzi yake aitake kututoa kwenye msitari
 
Huyu muwache na kiherehere chake atakufa kitambo na asiwe na muda wa kufanya maigizo yake. Wako wapi waliotuaminisha kuwa Mungu ameitibu Tanzania? RIP Gwajima
 
Haya machanjo ni uchafu. Hayafai ni uchafu mtupu... RUBBISH, GARBAGE

Acha ukilema wa kushabikia machanjo ya mabeberu hujui hata yametoka wapi unabugia tu kama zezeta.

Kama una hamu sana na chanjo tengeneza yako!

Si mnajiitaga wasomi nyie! THEN MAKE A VACCINE!
Ni dawa ngapi unabugia na hujui chochote kilichomo?
Akili hizi zitumieni kwa manufaa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huyu chalii gwajiboy anapenda kuongelewa sana, kama havhomi chanjo ni uamuzi wake sio kitu cha kuzungumza mwaka mzima, kila mtu ana maamuzi yake aitake kututoa kwenye msitari
Halafu ni mwongo sana. Utasikia nimeongea na marafiki zangu madaktari lakini hasemi ni akina nani na wanafanya kazi hospitali zipi.

Ni kama tu anaposema anafufua misikule huwa hao wafufuliwaji hawatambuliki wanatoka wapi.
Utasikia ni mwanafunzi darasa la saba shule haitajwi. Na mtaa anaotoka huyo msukule hautajwi.

Kwasasa anadanganya ili kupata umaarufu wa kisiasa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Halafu ni mwongo sana. Utasikia nimeongea na marafiki zangu madaktari lakini hasemi ni akina nani na wanafanya kazi hospitali zipi.

Ni kama tu anaposema anafufua misikule huwa hao wafufuliwaji hawatambuliki wanatoka wapi.
Utasikia ni mwanafunzi darasa la saba shule haitajwi. Na mtaa anaotoka huyo msukule hautajwi.

Kwasasa anadanganya ili kupata umaarufu wa kisiasa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuhusu misukule kuna jamaa alisema anaipeleka pale lumumba[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
ubunge wenyewe aliupata kwa kupewa hana uwezo wa kuuacha
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kwani kuna aliyemlazimisha achanje ?
 
Back
Top Bottom