tutamkumbukamagu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 317
- 270
kwa kosa gani?Huo ndiyo uanamume. Hautingishwi kwa sababu ya kutetea ugali. Utaupata kwingine tu.
Anyway, bungeni ataruhusiwa. Ila yeye na Polepole wanafukuzwa chamani.
Wiki hii ya kesho haitoisha.