Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

Wasabato na walokole walivyo sensitive na hili suala la mpinga kristo inaweza kuwa propaganda fulani yenye nguvu dhidi ya CDM kwa waumini wao.
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huyu nae punguani kabisaa aka Mkata maubo Gwajix
 
Maisha yanaenda kasi sana. Nakumbuka sio muda mrefu jamaa aliwaita pale kanisani kwake awape ishu za bashite na mlijaza kanisa kugombea siti za mbele na kusema JAMAA ANAJIELEWA SANA...
Na usisahau pia sio muda mrefu CCM mlikua mnamuita jamaa ni mchungaji/nabii tapeli lkn baada ya kuitwa na Magu pale ikulu mkabadili gia angani mkisema huyu ni mwenzetu.

Vipi ule ujumbe wake wa kule watsap aliousambaza khs wana kanda ya 'nyonyo' kuungana maana tuko wengi haukuupata?
 
Kuongozwa na tumbo ndio kumemfanya yule bwege anaevaa tai za bendera kulamba shavu baada ya kutusaliti kifikra watanzania wenzake na kuungana na fikra za Stone Cold wa jiji la miamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah naona mzee baba leo umeamua kufunguka kweli kweli,sio kawaida yako hahah.
 
Huyu m'bwatukaji si ndo kuna kipindi alikuja moro kwa ajili ya kuwafufua marehem flani, akiwemo na Chifupa matokeo hakufufuliwa hata PANYA na mwisho tukaishia kumsikia Mbasha akilalamika kuwa mkewe kaliwa kumbe alikuja nae wakati wale mapoyoyo wakisubiri ufufuo yeye akaenda kula tunda la kati
 
Kuna mapumbavu paka Leo yanaamini watu kama kina gwajima ni watumishi wa Mungu ....Na unayakuta kabisa yamekaa eti yapo ibadani....

Yaani kama Mungu nae huwa anasikikiliza maombi ya gwajima, basi namkana hadharani huyo sie Mungu wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye ana pepo la ngono anadhani tumesahau ile sauti yake kama Fiat mbovu baada ya kumpiga bao yule kondoo mweupe?
 
Hivi vikanisa vya ki thenge sijui kwann bado watu huwa wanaenda kusali
 
Mzee wa porn Gwajima ni tapeli tu huyu. Analaghai wajinga wanampelekea sadaka zimemfanya aone eti huwa anazungumza na Mungu!
 
Pepo la kula Mali za watu kwa kisingizio cha sadaka limtoke Gwajima.
Wale waumini wake kawageuze misukule. MTU ananiliki ndege halafu wanaabudia kwenye mabati. Hata ukitumia akili ya kuvukia rami utaona kuwa something wrong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…