Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Source: You tube
Na usisahau pia sio muda mrefu CCM mlikua mnamuita jamaa ni mchungaji/nabii tapeli lkn baada ya kuitwa na Magu pale ikulu mkabadili gia angani mkisema huyu ni mwenzetu.Maisha yanaenda kasi sana. Nakumbuka sio muda mrefu jamaa aliwaita pale kanisani kwake awape ishu za bashite na mlijaza kanisa kugombea siti za mbele na kusema JAMAA ANAJIELEWA SANA...
Hahah naona mzee baba leo umeamua kufunguka kweli kweli,sio kawaida yako hahah.Kuongozwa na tumbo ndio kumemfanya yule bwege anaevaa tai za bendera kulamba shavu baada ya kutusaliti kifikra watanzania wenzake na kuungana na fikra za Stone Cold wa jiji la miamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kubinua kichuguu weweMapepo machafu (chadema) yashindwe na kulegea
Hahaha Mapepo ya ufipa mshindweeee Mwamvuliii juuuuuuuuukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Nawe una pepo mchafu [emoji23][emoji1787][emoji2960]Acha kubinua kichuguu wewe
🤣🤣🤣🤣🤣 wakulungwa wanazingua smtymsHahah naona mzee baba leo umeamua kufunguka kweli kweli,sio kawaida yako hahah.
Hivi vikanisa vya ki thenge sijui kwann bado watu huwa wanaenda kusaliMambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Source: You tube
Gwajima ana mapepo ya kuwagonga kondoo zake.Kwani huyu si ndio Alikuwa mwanachama wa chadema namba mbili baada ya lowasa? Au amesahau? Basi hata yeye alikuwa na mapepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba makanisa yakifungwa mpunga kwake utakuwa haungii?Hoja yake ni kutetea sadaka tu deepdown. Wote wanaotaka ku jeopardize hilo atawaona wachawi tu hata kama ana risk maisha ya watu!
Unadhani kama angekuwa na chanzo kingine angekuwa anapayuka stejini mpaka awamu hii ya hatari.Kwamba makanisa yakifungwa mpunga kwake utakuwa haungii?
Nmecheka kixenge Pop! 🤣🤣🤣Yeye ana pepo la ngono anadhani tumesahau ile sauti yake kama Fiat mbovu baada ya kumpiga bao yule kondoo mweupe?
Mzee wa porn Gwajima ni tapeli tu huyu. Analaghai wajinga wanampelekea sadaka zimemfanya aone eti huwa anazungumza na Mungu!Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.