Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
The man ni Game Changer. Anajiamini sana hasa anaposimamia anachoamini.
Natamani iwe leo; natamani iwe kesho Gwajima afukuzwe CCM. Anampinga Rais ambaye kaamua kubadilisha uelekeo.
Gwajima bado amekaza shingo yake hataki kugeuka nyuma kubadili uelekeo. Amekaza shingo na anakazana kuelekea mbele wakati mwenyekiti wake wa Chama amegeuka.
Wenzie wamebadili uelekeo yeye ameshupaza shingo. Hii si nzuri kwa Chama Cha Mapinduzi. Si jambo la kawaida. Inawezekana Gwajima ni mgeni na chama. Wenyeji wanajua kubadilisha uelekeo ni jambo la kawaida kwa chama. Sasa Gwajima Kadema.
Gwajima Kadema, kagoma kugeuka. Hii si CCM tunayoitaka.