Misimamo husaidia mbele ya Safari
Magufuli alikuwa kama Gwajima hakwenda na upepo alisimamia alichokiamini wabadilika upepo walijikuta hawana chao 2015
Akishika mtu asiyebadilika kama Gwajima wabadilikaji wasio na misimamo hawatakuwa na nafasi yeyote iwe ubunge au cheo serikalini ,mahakamani au bungeni time is a very good teacher
Gwajima simamia hapo hapo
Usiangalie leo Concentrate na future tu.Time ndio huamua Nani mshindi kwenye mbio zozote ziwe za riadha au za kisiasa
Waliogeuka wote wameshashindwa mbio hata kabla ya kuanza.Wanaangalia Leo watakuwa wageni wa Nani wanasahau kuwa future ndio muda mrefu zaidi kuliko present time
Magufuli hakujali present alikocentrate on future tu he remained the same serikali zote hakubadilika misimamo watu wakasema hafiki popote Lofa Hana hella Hana connection nzuri na vigogo na matajiri na hayuko social nk lakini akaibuka kidedea uraisi
Hawa wanaogeuka kama vinyonga kuangalia leo Raisi aliyepo ansimba wimbo upi na wait wanajifanya wanaimba huo wimbo hawana future kwenye politics.Mark my words watapigwa chini wote mbeleni!! Kama ilivyotokea 2015 baada ya Magufuli kushinda
Gwajima kajitambulisha live where he stands na habadiliki same characy ya Magufuli
Nchi inahitaji wenye misimamo isiyobadilika alikuwa na msimamo huo kipindi cha Magufuli na kabaki na msimamo huo huo kipindi cha Samia