Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Rais kabadili uelekeo gani? Mambo yako vilevile, vitu vinapanda kila leo,
Gesi
Makato
Tozo
Mafuta, kila kitu bei juu katika hawamu yake alafu unasema kabadili kabadili nini sasa, kubambika watu kesi kupo palepale, kabadili nini, acheni gwajima asimame na anachokiamini, nyie ni vibendera fuata upepo, akija mwingine akisema chanjo haifai mtaelekea huko huko