Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hakufai wewe. Wengine anawafaa. Hoja za Gwajima unazifahamu?Taifa ambalo elimu imeenea mtu kama Gwajima hana madhara. US wanawalabel hawa watu kama anti vaxers na hua wanataniwa kweli kweli.
Taifa letu limejaa wajinga mtu kama Gwajima ni hatari.
Kwa sasa hapana. Hatufai.
Kumwona Gwajima hafai kisa tu ana mawazo tofauti ni ufinyu wa uelewa.Taifa ambalo elimu imeenea mtu kama Gwajima hana madhara. US wanawalabel hawa watu kama anti vaxers na hua wanataniwa kweli kweli.
Taifa letu limejaa wajinga mtu kama Gwajima ni hatari.
Kwa sasa hapana. Hatufai.
Mimi nimesema hatufai. Nashare maoni na wanaosema hatufai. Hoja yangu ni yao.Hakufai wewe. Wengine anawafaa... Hoja za Gwajima unazifahamu?
Huyo jamaa hana mfuasi TIMILIFU KICHWANI. ..angekua anasimamia anachokiamini asingegombea ubunge, maana kwa kinywa chake alitamka hawezi kuwa mbunge maana kuwa mbunge ni demotion
Nafikiri umetaka kumaanisha ufinyu wa uelewa.Kumwona Gwajima hafai kisa tu ana mawazo tofauti ni ufinyu wa uekewa.
Sio kila kauli inayotolewa na serikali ni sahihi asilimia π― hivyo kuwepo kwa watu kama Gwajima ni muhimu sana haswa kwa kipindi hiki tusichokuwa na vyama vya upinzani.
Ujinga unaouona wa watanzania ndio CCM inautumia kama mtaji kuwaburuza wapendavyo...tunataka akina Gwajima wengi kuwafungua waTz macho.
Gwajima anaupiga mwingi sana kiasi CCM wamebaki kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya, Gwajima ana 'watu'The man ni Game Changer. Anajiamini sana hasa anaposimamia anachoamini.
Natamani iwe leo,natamani iwe kesho Gwajima afukuzwe CCM. Anampinga Rais ambaye kaamua kubadilisha uelekeo.
Gwajima bado amekaza shingo yake hataki kugeuka nyuma kubadili uelekeo. Amekaza shingo na anakazana kuelekea mbele wakati mwenyekiti wake wa Chama amegeuka.
Wenzie wamebadili uelekeo yeye ameshupaza shingo. Hii si nzuri kwa Chama Cha Mapinduzi. Si jambo la kawaida. Inawezekana Gwajima ni mgeni na chama. Wenyeji wanajua kubadilisha uelekeo ni jambo la kawaida kwa chama. Sasa Gwajima Kadema.
Gwajima Kadema.... Kagoma kugeuka.hii si CCM tunayoitaka.
Hakuna mwenye ubavu huo Gwajima aneshawatieni dole la kati.Gwajima afukuzwe tu....
Gwajima hana UCCM wowote ule zaidi ya "kubebwa" kuwa mbunge....
Ukitaka UJUE GWAJIMA hana USHAWISHI CCM hebu angalia KURA ZA MAONI ALIZOPATA JIMBONI KAWE 2020.....
Alikuwa wa 4.......
Sasa mtu wa aina hii ana USHAWISHI GANI tumuogope WANACCM?!!!
HASHTAG GWAJIMA AFUKUZWE CCM
#CCMIMFUKUZEGWAJIMA
Fikra za mwenyekiti huwa ni sahihi na hazipingwi in ccm voiceTumeona huko Marekani & Uingereza wabunge wakipingana na misimamo ya vyama na viongozi wao. Na hakuna hatua zilizochukuliwa. Hii ya hapa kwetu ni mfumo wa ki communist. Wa kusifu na kuabudu viongozi na vyama tawala . UJINGA mwingine huo
Huyu ni mbunge wa "NIRETEENI GWAJIMA, NIRETEENI GWAJIMA, NIRETEENI GWAJIMAAA".Gwajima afukuzwe tu....
Gwajima hana UCCM wowote ule zaidi ya "kubebwa" kuwa mbunge....
Ukitaka UJUE GWAJIMA hana USHAWISHI CCM hebu angalia KURA ZA MAONI ALIZOPATA JIMBONI KAWE 2020.....
Alikuwa wa 4.......
Sasa mtu wa aina hii ana USHAWISHI GANI tumuogope WANACCM?!!!
HASHTAG GWAJIMA AFUKUZWE CCM
#CCMIMFUKUZEGWAJIMA
Mkuu kwa maelezo yako haya Gwajima anamsimamo!!!! una hakika au unajaribu kusherehesha usichokijua??Gwajima yupi huyu porn master au??Misimamo husaidia mbele ya Safari
Magufuli alikuwa kama Gwajima hakwenda na upepo alisimamia alichokiamini wabadilika upepo walijikuta hawana chao 2015
Akishika mtu asiyebadilika kama Gwajima wabadilikaji wasio na misimamo hawatakuwa na nafasi yeyote iwe ubunge au cheo serikalini ,mahakamani au bungeni time is a very good teacher
Gwajima simamia hapo hapo
Usiangalie leo Concentrate na future tu.Time ndio huamua Nani mshindi kwenye mbio zozote ziwe za riadha au za kisiasa
Waliogeuka wote wameshashindwa mbio hata kabla ya kuanza.Wanaangalia Leo watakuwa wageni wa Nani wanasahau kuwa future ndio muda mrefu zaidi kuliko present time
Magufuli hakujali present alikocentrate on future tu he remained the same serikali zote hakubadilika misimamo watu wakasema hafiki popote Lofa Hana hella Hana connection nzuri na vigogo na matajiri na hayuko social nk lakini akaibuka kidedea uraisi
Hawa wanaogeuka kama vinyonga kuangalia leo Raisi aliyepo ansimba wimbo upi na wait wanajifanya wanaimba huo wimbo hawana future kwenye politics.Mark my words watapigwa chini wote mbeleni!! Kama ilivyotokea 2015 baada ya Magufuli kushinda
Gwajima kajitambulisha live where he stands na habadiliki same characy ya Magufuli
Nchi inahitaji wenye misimamo isiyobadilika alikuwa na msimamo huo kipindi cha Magufuli na kabaki na msimamo huo huo kipindi cha Samia