Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
-
- #21
Wewe una ujuzi gani na nanii yako? 😂Yaaan navyoichukia CCM lakin leo kesho naomba muifukuze hiyo takataka kirambasi. He is misleading. Hana ujuzi wowote wa Afya makalio yake
Gwajima afukuzwe tu
Gwajima hana UCCM wowote ule zaidi ya "kubebwa" kuwa mbunge
Ukitaka UJUE GWAJIMA hana USHAWISHI CCM hebu angalia KURA ZA MAONI ALIZOPATA JIMBONI KAWE 2020
Alikuwa wa 4
Sasa mtu wa aina hii ana USHAWISHI GANI tumuogope WANACCM?
HASHTAG GWAJIMA AFUKUZWE CCM
#CCMIMFUKUZEGWAJIMA
Pamoja na hoja zake chanzo cha habari zake ni kipi. Hata 5G mtalaam ni yeye.Hakufai wewe. Wengine anawafaa. Hoja za Gwajima unazifahamu?
Ana uwezo wa kuchora cell wall?Yaaan navyoichukia CCM lakin leo kesho naomba muifukuze hiyo takataka kirambasi. He is misleading. Hana ujuzi wowote wa Afya makalio yake
pinga hoja zake sio una attack personalityYaaan navyoichukia CCM lakin leo kesho naomba muifukuze hiyo takataka kirambasi. He is misleading. Hana ujuzi wowote wa Afya makalio yake
Ana uwezo wa kuchora cell wall?Yaaan navyoichukia CCM lakin leo kesho naomba muifukuze hiyo takataka kirambasi. He is misleading. Hana ujuzi wowote wa Afya makalio yake
Kamba bado kidogo kukatika, na itakatika tu!The man ni Game Changer. Anajiamini sana hasa anaposimamia anachoamini.
Natamani iwe leo; natamani iwe kesho Gwajima afukuzwe CCM. Anampinga Rais ambaye kaamua kubadilisha uelekeo.
Gwajima bado amekaza shingo yake hataki kugeuka nyuma kubadili uelekeo. Amekaza shingo na anakazana kuelekea mbele wakati mwenyekiti wake wa Chama amegeuka.
Wenzie wamebadili uelekeo yeye ameshupaza shingo. Hii si nzuri kwa Chama Cha Mapinduzi. Si jambo la kawaida. Inawezekana Gwajima ni mgeni na chama. Wenyeji wanajua kubadilisha uelekeo ni jambo la kawaida kwa chama. Sasa Gwajima Kadema.
Gwajima Kadema, kagoma kugeuka. Hii si CCM tunayoitaka.
Mawazo mufilisi.Misimamo husaidia mbele ya Safari
Magufuli alikuwa kama Gwajima hakwenda na upepo alisimamia alichokiamini wabadilika upepo walijikuta hawana chao 2015
Akishika mtu asiyebadilika kama Gwajima wabadilikaji wasio na misimamo hawatakuwa na nafasi yeyote iwe ubunge au cheo serikalini ,mahakamani au bungeni time is a very good teacher
Gwajima simamia hapo hapo
Usiangalie leo Concentrate na future tu.Time ndio huamua Nani mshindi kwenye mbio zozote ziwe za riadha au za kisiasa
Waliogeuka wote wameshashindwa mbio hata kabla ya kuanza.Wanaangalia Leo watakuwa wageni wa Nani wanasahau kuwa future ndio muda mrefu zaidi kuliko present time
Magufuli hakujali present alikocentrate on future tu he remained the same serikali zote hakubadilika misimamo watu wakasema hafiki popote Lofa Hana hella Hana connection nzuri na vigogo na matajiri na hayuko social nk lakini akaibuka kidedea uraisi
Hawa wanaogeuka kama vinyonga kuangalia leo Raisi aliyepo ansimba wimbo upi na wait wanajifanya wanaimba huo wimbo hawana future kwenye politics.Mark my words watapigwa chini wote mbeleni!! Kama ilivyotokea 2015 baada ya Magufuli kushinda
Gwajima kajitambulisha live where he stands na habadiliki same characy ya Magufuli
Nchi inahitaji wenye misimamo isiyobadilika alikuwa na msimamo huo kipindi cha Magufuli na kabaki na msimamo huo huo kipindi cha Samia
Kumwona Gwajima hafai kisa tu ana mawazo tofauti ni ufinyu wa uelewa.
Sio kila kauli inayotolewa na serikali ni sahihi asilimia 💯 hivyo kuwepo kwa watu kama Gwajima ni muhimu sana haswa kwa kipindi hiki tusichokuwa na vyama vya upinzani.
Ujinga unaouona wa watanzania ndio CCM inautumia kama mtaji kuwaburuza wapendavyo...tunataka akina Gwajima wengi kuwafungua waTz macho.
Du hiili la Dengue ililinipita nadhani sikuwepo vipi liliishaje?Nafikiri umetaka kumaanisha ufinyu wa uelewa.
Tukienda na rekodi:
Kuna mwaka ilizuka homa ya dengue. Ikaondoka na watu maarufu na wasio maarufu. Serikali kupitia wizara ya afya ikatoa angalizo kwamba ukiona una dalili za homa cha kwanza kiwe ni panadol.
Ilikua miaka ya kikwete 2014 so hakuguswa.Du hiili la Dengue ililinipita nadhani sikuwepo vipi liliishaje?
Kusambaza ngwengweWewe una ujuzi gani na nanii yako? [emoji23]
wewe ndiwe pengine huna uelewa, wewe umebugia hiyo chanjo mask huvai??? Unajua maana ya chanjo wewe.Taifa ambalo elimu imeenea mtu kama Gwajima hana madhara. US wanawalabel hawa watu kama anti vaxers na hua wanataniwa kweli kweli.
Taifa letu limejaa wajinga mtu kama Gwajima ni hatari.
Kwa sasa hapana. Hatufai.
Ungekua na ujuzi na mambo ya afya ungegundua chanjo yako. Tanzania kuna mjuzi wa afya??? Mask zenyewe mmeshindwa kutengeneza. Bora nimheshimu fundi Cherehani anaweza shona hata hizo mask.Yaaan navyoichukia CCM lakin leo kesho naomba muifukuze hiyo takataka kirambasi. He is misleading. Hana ujuzi wowote wa Afya makalio yake
Hoja zake za kwamba chanjo ya korona ni mpango wa mpinga kristo na chapa ya 666?Hakufai wewe. Wengine anawafaa. Hoja za Gwajima unazifahamu?
Biblia inatamka wazi kwenye Ayubu 3:25 kuwa lile nilikuwa naliogopa ndio limenipataMawazo mufilisi.
Anayeshupaza shingo huishia kukatika hiyo shingo.