Askofu Gwajima hataki kubadili uelekeo, inawezekana ni mgeni na chama

Rais kabadili uelekeo gani? Mambo yako vilevile, vitu vinapanda kila leo,

Gesi
Makato
Tozo
Mafuta, kila kitu bei juu katika hawamu yake alafu unasema kabadili kabadili nini sasa, kubambika watu kesi kupo palepale, kabadili nini, acheni gwajima asimame na anachokiamini, nyie ni vibendera fuata upepo, akija mwingine akisema chanjo haifai mtaelekea huko huko
 
Leo mnaandika maandiko ya kukubali kua mwendazake kaharibu nchi na chama chakavu
 
Ungekua na ujuzi na mambo ya afya ungegundua chanjo yako. Tanzania kuna mjuzi wa afya??? Mask zenyewe mmeshindwa kutengeneza. Bora nimheshimu fundi Cherehani anaweza shona hata hizo mask.
Wewe ya kwako iko wapi[emoji706][emoji706][emoji706]

Ina maana hujui kuna kiwanda cha kutengeneza mask hapa ama umejazwa na hisia za kijinga tu?
 
afukuzwe kwa lipi jibuni hoja zake kwanza
 
Wewe ya kwako iko wapi[emoji706][emoji706][emoji706]

Ina maana hujui kuna kiwanda cha kutengeneza mask hapa ama umejazwa na hisia za kijinga tu?
Hamna lolote Tanzania hakuna wataalamu wa afya, wataalamu wanatengeneza dawa kama juice wataalamu gani hao. Hakuna kitu Tanzania kila mmoja atajikinga kwa njia yake.
 
Gwajima yupo more informed kuliko buku7 wengi ndo maana wao kazi ni kumpinga tu bila evidence yoyote wala hoja zilizoshiba....
 
Hivi mzee- kijana Humprey Pole pole a.k.a Magonjwa Mtambuka ameshachanjwa?
 
Wengine tusha chanja.
Gwajima kibwetere tu.
 
CCM kama chama msimamo wake: WACHANJWE WENYE KUTAKA HAKUNA ULAZIMA.
 
Sio kila kauli inayotolewa na serikali ni sahihi asilimia [emoji817] hivyo kuwepo kwa watu kama Gwajima ni muhimu sana haswa kwa kipindi hiki tusichokuwa na vyama vya upinzani.




Uko sahihi, hakuna upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…