Kitendo Cha kukaa kimya siyo hekima wakati mwingine unafiki unasaidia!!keep quiet may mean Yes!! Hii ni hatariAnahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Gwaji ni Tai, kachoka na yanayoendelea nchini kaona liwalo na liwe.Anahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Nilijua tuu waislamu mlivyo wajinga wajinga lazima mje na hii kete ya udini mlivyo vichwa panzi mmejaza tende tu bichwani,Gwajima alisumbua sana hata enzi za Jpm kama unesahau muulize MAKONDA acheji kujifucha kwenye dini au kwa vile dini yenu swala la kuua ni ruksa.Mdini tu huyu
Gwajima ni msema kweli.Anahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Kuna mambo ameongea kwa mifano ila ndivyo yalivyo,hususani kutenguliwa kisa kupinga uuzwaji wa port.Anahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Ni VIZURI ameongea,but why imemchukua muda kutoka na kusema muda huu?inakosa nguvu it sounds like he's calculating on how to play his last cards towards October election,utekaji upo since mwenda zake kinachofanyika ni muendelezo tuh wa wale wasiojulikana...asijiafanye kurusha jiwe gizani,kwa sisi wafia dini tunachokiona hapo ni Islamophobia tuh
Mkuu kwa ile kujipakulia mi bilioni, hakuna mtu anataka kuachia ofisi, yani IGP ataingia road mwenyewe kutembeza virunguChura kiziwi anapigwa spana kushoto kulia juu chini mashariki magaharibi 😆😆😆😂 ni bora amuachie Lissu halafu Reforms kwenye mfumo wa uchaguzi ili atawale raha mustarehe.
He hasn't such intelligence.Msikute yote haya yanafanywa na Abdul na genge lake kumtetea Mama yake
Kwa Tanzania ili uaminike hii script angetakiwa isemwe na mtu mwingine lakini si aliye katika system. Mpaka a nafika hapo kwenye press hiyo script is hapatikani na kuhakikiwa. Facial expression haioneshi msisitizo kwa anachokiongea, gestures haziendani na uzito wa jambo.Anahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Akili za kimasikini huo ugali bila mifumo wezeshi huwezi upata kwa usahihiGwajima anajiamini nini aisee!! Maneno makali hayo! Ila hii nchi bora si wengine tuwe watazamaji tu ili wanetu wapate ugali.
JK asipokufa mapema inakula kwetu mazima!kuna kundi kubwa sana ndani ya chama hawakuelewa wala kukubali kilichotokea kwenye mkutano pale Dodoma 19/01/2025.
tatizo Kikwete anasubiri hadi mambo yaharibike sana
Ukweli humweka mtu huru, anachosema ni kweli, uongo ndio unachota watu.Isijekuwa anatuchota dak za lala salama!