Mtaji wa hicho chama ni watu kama hao mkuu,just imagine.Umbwa kabisa watanganyika wanauwawa unaongea useng
Mtaji wa hicho chama ni watu kama hao mkuu,just imagine.Umbwa kabisa watanganyika wanauwawa unaongea useng
Mkosoaji wa ndani anaitwa mdini.Mdini tu huyu
Nakubali mkuu na umemweleza vizuri ndio Yale Yale ya msanii tiwa savage Kwa Ile video yake hata yeye akasema aoni Cha ajabu kama video kuvuja ivuje tu hakuna binadamu ambaye ajafanya sex 💯✌️Ni mwanaume. We unashangaa mwanaume kumkatikia na kumkojolea mwanamke?
Mmeshaanza kujitokeza. Kuanzia Jumatatu ni mwendo wa Mambumbumbu ya kikuresh kujiliza kwamba anachukiwa kwa kuwa ni mjukuu wa allah.
Mazwazwa mengi tz tuna safari ndefu hayatumii ata akili yanaendeshwa na mihemko wakristo awachaguagi pa kupiga tangu enzi za mwalimu wao wamekuwa wakikemea maovu, jpm alipigwa spana na wakristo wenyewe kwakuwa hawana unafiki💯Mkosoaji wa ndani anaitwa mdini.
Mkosoaji wa kenya haitwi mdini..na wote wamemkosoa Raisi.
Nyie ni washenzi sana
Anaweza kuchukuliwa ila tuu Samia akiwa sio Rais.Anahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Imagine,hata pasipoti hatuna wala kitambulisho cha nidaJapo humo humo na kujipakulia minyama, asisahau aliahidi wananchi wa kawe atawapeleka mbele huko.....,
Sauti ziendelee kusikika,Hakuna aliyesalama tukichagua kukaa kimya, uovu umepitiliza.
Kweli sijafuatilia muda mrefu ila ninachojua ukiongea bungeni kuna kingaAtaziongeleaje Bungeni, wewe hujui vibano vya huko Bungeni, au hujawahi kufuatilia maswala ya Bunge ndani ya nchi hii?
Sasa hiyo "kinga" inamsaidia kitu gani wakati sote tunajuwa kwamba Katiba na Sheria zetu ziko chini ya mamlaka husika.Kweli sijafuatilia muda mrefu ila ninachojua ukiongea bungeni kuna kinga
Anawaambia watu wake (watekaji), vipi Abdul mbona una hasira na wasiwasi?Aliwahi kusema kwamba hataki mama yake asemwe?
Sisi wengine tulienjoy ile video...kwa sbb ilikua video ya kusimumua haina mambo ya kifirauni...Nimekumbuka mambo ya mkono wa baunsa.
Inauma hiii kama ndo ww umefiwa acha kabisaKwani Marehemu Ali Kibao alikuwa ni mla kitimoto mkuu? Kamwongelea kwa uchungu sana! Au kwa vile kifo ni kifo tu? 😭
View attachment 3344681
Mkuu achachanae. huyo ni mjinga yeye na kizazi chake pia. Kwa maneno ya Askofu mtu pekee anayeweza kupinga ni yule asiyekuwa timamu tu./ kwa Maana ata akishushwa malaika leo bado atasema Askofu kaongea UKWELI.Kwa kiwango cha upumbavu wako hujui hata lipi la kuamini na lipi si la kuamini mpaka uagizwe na ilani
Kwa hiyo mtu kukemea uovu tena kwa mifano dhahiri ya wakubwa hili nalo linahitaji kuamini?
Akheri ujinga wako huu usiwaambukize watoto
Kweli kwenye msafala wa Mamba na kenge wapo na ndio maana wewe ni mgonjwa ila hujapata nafasi ya kujua hilo. Kama unatatizo kwenye Ubongo Wako.Mdini tu huyu
Huyo Dr Rashid anatakiwa kupewa disipliniKwahyo kwa akili yako unaona ubunge ni kila kitu dhidi ya uhai wa watu?? Kwann usikae tu kimya kuficha upumbavu wako mkuu.
Ukijibiwa swali lako muheshimiwa mchungaji usiache kuijulisha hadhira hii.Anahoji Askofu Gwajima.!
Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?
Hazitakaa zijibiwe.. Na nani kwanza wa kuzijibuHoja za Gwajima bado hazijajibiwa