Hilo ndilo linalotakiwa lifanyike kuepusha damu ya waTanzania wasiokuwa na hatia kupotea bure kwa sababu tu ya kumbakisha Samia madarakani.Kunakamsg kwambaaali kwamba embu nahawa wafanyiwe tuone!!
Habari ya yanayotokea nikwamba kutajatokea ugaidi mbaya wa kulipana visasi nahiyo itakuwa mbaya saana tuwe makini
Huu utekaji unasimamiwa na kundi dogo la viongozi, aikna Mchengerwa na wenzao. Hawa ndio wanaotakiwa kudhibitiwa kuzuia damu isimwagike.
Hawa watu kwenye hilo kundi wanafahamika; kwa nini na wao wasionje wanayo wafanyia wengine?