Askofu Gwajima kaufyata?

Askofu Gwajima kaufyata?

Mambo yanakwenda kwaa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona!

Kabla ya japo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo was Corona na jitihada zote zilizokuea zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Munhu alilimaakiza au atalimaliza bila Sayansi!

Cha ajabu baada ya kibano alichope2a na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelehea au kalegezwa!

Tulitegemea gata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse!

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO!

Askofu Gwajima upo!?
Amegundua maji ni marefu na si mafupi kama alivyodhani mwanzoni.
 
Kumbe machizi mengi tu
Alisema hivi hata akikaa kimya msimamo anaoutoa utabaki kuwa palepale
Sa mnataka aache kufundisha mahubiri mengine kila siku awe anazungumzia korona au
 
Mkuu Mimi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' na hakuna mwingine.

Kupata kwa Taarifa za ndani ( ngumu ) kabisa ( za Sekta mbalimbali za Siasa, Kijamii, Ulinzi, Usalama na Michezo ) Kwangu Mimi ni rahisi kama vile Israeli anavyoondoka na Roho ya Binadamu au Yanga SC inavyoifunga Simba SC.
Salute kwako mkuu, Ila Hilo la yanga kuifunga Simba duuuu
 
Kumbe machizi mengi tu
Alisema hivi hata akikaa kimya msimamo anaoutoa utabaki kuwa palepale
Sa mnataka aache kufundisha mahubiri mengine kila siku awe anazungumzia korona au
Alisema Doroth na Mollel wasipojiuzuru naye hatanyamaza mpaka wajiuzuru,
kwani wameshajiuzuru😀😀
 
Mambo yanakwenda kwaa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona!

Kabla ya japo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo was Corona na jitihada zote zilizokuea zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Munhu alilimaakiza au atalimaliza bila Sayansi!

Cha ajabu baada ya kibano alichope2a na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelehea au kalegezwa!

Tulitegemea gata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse!

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO!

Askofu Gwajima upo!?
Naamini hajafyata ila amebaki kimya😆😆😆.. waropokaji kama hujui wakati mwingine wanasababisha mijadala yenye tija kubwa. 💪
 
Sayansi ipi iliyo maliza korona? Tanzania mpaka leo walio chanjwa ni 700k kati ya watu 60 million hivi huu uwiano ndio wa kumaliza korona?

Korona ni biashara kama biashara nyingine na kama umechanjwa jiandae kuwa kuku wa bloiler kila mwaka lazima udungwe chanjo.
kuna mzirankende mmoja wa Chato naye alikua anaongea ujinga kama wako sasaivi ameshafutika kwenye system
 
Mambo yanakwenda kwaa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona!

Kabla ya japo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo was Corona na jitihada zote zilizokuea zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Munhu alilimaakiza au atalimaliza bila Sayansi!

Cha ajabu baada ya kibano alichope2a na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelehea au kalegezwa!

Tulitegemea gata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse!

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO!

Askofu Gwajima upo!?
Watakuwa wamemtumia wasiojulikana kumpa onyo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mambo yanakwenda kwaa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona!

Kabla ya japo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo was Corona na jitihada zote zilizokuea zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Munhu alilimaakiza au atalimaliza bila Sayansi!

Cha ajabu baada ya kibano alichope2a na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelehea au kalegezwa!

Tulitegemea gata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse!

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO!

Askofu Gwajima upo!?
Mwenzako yuko bize kujipiga vidole kwa raha zake.
 
kubisha au kupinga, bila kua na fact ni kazi sana.
Naona mwamba Kaishiwa Pumzi..
Wewe unaoma hiyo korona kuna mtu anahangaika nayo? Best hayo yote unayoyaona yanafavywa na serkali ili wapate hela hawana la maana lolote! Wanahamasisha uvaaji barakoa na chanjo ili waomekane na watoa misaada hamana kingine hapo!
 
Mambo yanakwenda kwaa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona!

Kabla ya japo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo was Corona na jitihada zote zilizokuea zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Munhu alilimaakiza au atalimaliza bila Sayansi!

Cha ajabu baada ya kibano alichope2a na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelehea au kalegezwa!

Tulitegemea gata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse!

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO!

Askofu Gwajima upo!?
Unapenda uchonganishi.....
kwenye jamii yoyote wachonganishi hawakosekani
kama huyu
watu kama hawa hawapendagi kuona mambo yametulia lazima wachokonoe chokonoe ndio furaha yao
 
na alisemà doroth gwajima na mollel wasipojiuzuru atazidi kuwafyatua hatanyamaza, sasa tunashangaa mbn kanyamaza na wao bado wanadunda
Ulitaka afanye Nini...ulitaka azungumze kitu gani?
 
Aliyemnyamazisha ni Mwanaume Mmoja asiye na maneno mengi ( tena ni Bagosha Mwenzake ) na ambaye hata katika Mazishi ya Hayati Rais Dkt. Magufuli pale Chato alitoa Hotuba ya 'Kiume' zaidi iliyotuachia Maswali mengi kwa Kumpigia Simu Moja tu na kumwambia aache Kuivuruga Tanzania vinginevyo ataanza Kuvurugwa Yeye na Kukata Simu.
Mabeyo .
 
Napata shida ama na uwezo wako wa ku analyse Mambo au uwezo wako wa kufikiri.
Gwajima ndo mshindi wewe unadai kawezwa.
1.Alipinga watu kuchanjwa,je wamechanjwa? Nchi ikamuelewa mpaka Sasa chanjo 1m.hazijaisha mpaka Kuna sehemu wameanza kulazimishisha wafanyakazi Kiana.
Nchi Ina watu zaidi ya 60m.
Wana CCM pekee 8m,Ina maana wangemuunga mkono Hangaya zingeisha asubuhi.
Hapa Gwajiboy kashinda asubuhi.

2.Alipinga kuletewa hofu kwa lugha ya wimbi la pili wakati wadudu wa Corona wamekuwa wadudu wa kawaida tu.
Ndiyo maana Hangaya aliagiza uvaaji mibarakoa wananchi wanadunda tu,amebaki yeye na wateule wake kuvaa ili kutumikia fedha za beberu.mpaka Sasa ibada zake Gwajima hakuna barakoa,huku mitaani hakuna barakoa Wala social distance.
 
Nadhani ameona Sayansi "ilivomaliza" korona
Nchi gani Sayansi imeimaliza Corona mpaka leo Ulaya na Marekani inamaliza watu.wewe unajua Sayansi kuliko hao? Unajua Sayansi kuliko waganda ambao mpaka leo shule zimefungwa?

Ukimpa Mungu utukufu kwa kuisaidia nchi unafikiri utakuwa umempa heshima asiyositahiri?
 
kuna mzirankende mmoja wa chato naye alikua anaongea ujinga kama wako sasaivi ameshafutika kwenye system
Kaka yake Mbowe aliyekufa kwa Corona naye vipi alikuwa anaongea ujinga?
Vipi watu 5m waliokufa wengi wao ni wazungu,nao walisema ujinga?
Wewe mwerevu utaishi milele.
 
Tatizo lao sio kwamba Gwajima Askofu kashindwa! Wanataka aendelee kuongea ili waendeleze propaganda za gang! Gwajima alishashinda kila mtu mwenye akili anajua ila wanalotaka aendelee kuongea ili waanze mambo ya Sukumagang,au pushgang!
Napata shida ama na uwezo wako wa ku analyse Mambo au uwezo wako wa kufikiri.
Gwajima ndo mshindi wewe unadai kawezwa.
1.Alipinga watu kuchanjwa,je wamechanjwa? Nchi ikamuelewa mpaka Sasa chanjo 1m.hazijaisha mpaka Kuna sehemu wameanza kulazimishisha wafanyakazi Kiana.
Nchi Ina watu zaidi ya 60m.
Wana CCM pekee 8m,Ina maana wangemuunga mkono Hangaya zingeisha asubuhi.
Hapa Gwajiboy kashindwa asubuhi.

2.Alipinga kuletewa hofu kwa lugha ya wimbi la pili wakati wadudu wa Corona wamekuwa wadudu wa kawaida tu.
Ndiyo maana Hangaya aliagizwa uvaaji mibarakoa wananchi wanadunda tu,amebaki yeye na wateule wake kuvaa ili kutumikia fedha za beberu.mpaka Sasa ibada zake hakuna barakoa,huku mitaani hakuna barakoa Wala social distance.
 
Aliyemnyamazisha ni Mwanaume Mmoja asiye na maneno mengi ( tena ni Bagosha Mwenzake ) na ambaye hata katika Mazishi ya Hayati Rais Dkt. Magufuli pale Chato alitoa Hotuba ya 'Kiume' zaidi iliyotuachia Maswali mengi kwa Kumpigia Simu Moja tu na kumwambia aache Kuivuruga Tanzania vinginevyo ataanza Kuvurugwa Yeye na Kukata Simu.
Acha kuchafua wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama mpumbavu wewe.
 
Mambo yanakwenda kwaa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona!

Kabla ya japo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo was Corona na jitihada zote zilizokuea zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Munhu alilimaakiza au atalimaliza bila Sayansi!

Cha ajabu baada ya kibano alichope2a na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelehea au kalegezwa!

Tulitegemea gata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse!

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO!

Askofu Gwajima upo!?
Kanisa lake pale ubungo limejengwa kwenye hifadhi ya barabara ( Road reserve) akijitia kumwaga ugali, wao watamwaga mboga
 
Back
Top Bottom