Napata shida ama na uwezo wako wa ku analyse Mambo au uwezo wako wa kufikiri.
Gwajima ndo mshindi wewe unadai kawezwa.
1.Alipinga watu kuchanjwa,je wamechanjwa? Nchi ikamuelewa mpaka Sasa chanjo 1m.hazijaisha mpaka Kuna sehemu wameanza kulazimishisha wafanyakazi Kiana.
Nchi Ina watu zaidi ya 60m.
Wana CCM pekee 8m,Ina maana wangemuunga mkono Hangaya zingeisha asubuhi.
Hapa Gwajiboy kashindwa asubuhi.
2.Alipinga kuletewa hofu kwa lugha ya wimbi la pili wakati wadudu wa Corona wamekuwa wadudu wa kawaida tu.
Ndiyo maana Hangaya aliagizwa uvaaji mibarakoa wananchi wanadunda tu,amebaki yeye na wateule wake kuvaa ili kutumikia fedha za beberu.mpaka Sasa ibada zake hakuna barakoa,huku mitaani hakuna barakoa Wala social distance.