THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Tena anapotea vizuri anguko linakuja 2025 atapotea kabisa huyu Mnazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima hana njaa kama za kwako! Gwajima anafahamika kabla ya huo ubunge!Tena anapotea vizuri anguko linakuja 2025 atapotea kabisa huyu Mnazi
Walio pata chanjo ni watu walio kuwa kundi hatarishi watu umri mkubwa na maradhi nyemelezi.....mtu yeyote anaye pinga chanjo kuna mawili ..........Sayansi ipi iliyo maliza korona? Tanzania mpaka leo walio chanjwa ni 700k kati ya watu 60 million hivi huu uwiano ndio wa kumaliza korona?
Korona ni biashara kama biashara nyingine na kama umechanjwa jiandae kuwa kuku wa bloiler kila mwaka lazima udungwe chanjo.
Na ndiyo ukweli wenyewe kama ilivyokuwa kwa yule dhalim mwendazake ni wahutu waliojivika usukuma.Huyu msukuma kaambiwa sio raia lini?
Ameamua ajitafunie kondoo wake tu kimya kimya.Mambo yanakwenda kwa Kasi Sana!
Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona.
Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Mungu alilimalia au atalimaliza bila Sayansi.
Cha ajabu baada ya kibano alichopewa na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelegea au kalegezwa.
Tulitegemea hata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse.
Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO.
Askofu Gwajima upo!?
Hana mvuto tenaAmeisha huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12] Daaah hii ndiyo TZ banaaa...Ndio walioingia mji wa siasa na viwembe, hawakujua wenye shoka wanawatazama tu!
Na mwenzake msukuma aliingia na maneno kibao kupinga kuondolewa machinga, katupiwa bomu kuwa si raia wa Tz naye kaufyata.
Unajuwa sababu ya Gwajima kuto kuwepo bungeni?Cha ajabu baada ya kibano alichopewa na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelegea au kalegezwa.
La pili linawahusu wengi. Wanaopiga makelele kuipinga chanjo ni watu hawajawahi kuuguza mgonjwa au wagonjwa mpaka wakafariki. Hawahawaji kuuona ugonjwa kwa vitendo, wanaropoka tu na kubishana humu mitandaoni bila ya kujua wanaongea nini.Walio pata chanjo ni watu walio kuwa kundi hatarishi watu umri mkubwa na maradhi nyemelezi.....mtu yeyote anaye pinga chanjo kuna mawili ..........
Lakwanza ni mfata mkumbo anapinga sababu tu ameona watu wanapinga na yeye kaingia humo lkn hajui kwanini anapinga.
La pili haja ondokewa na watu wake wakaribu na ugonjwa huu wa CORONA kwahiyo hajui maumivu ya watu walio waona wapendwa wao wanaondoka kama mchezo within week.
[emoji817]%✓Mabeyo .
MTAPIGA KELELE SANA,ILA SISI HUKU MIKOANI CORONA HATUIJUI.IPO KWENYE AGENTS WA NWO,WANASIASA NA VYOMBO VYA HABARI.KWETU SISI WANANCHI IT IS BUSINESS AS USUAL.LABDA WALE WAJINGA WACHACHE.Mambo yanakwenda kwa Kasi sana!