Askofu Gwajima kaufyata?

Askofu Gwajima kaufyata?

Sayansi ipi iliyo maliza korona? Tanzania mpaka leo walio chanjwa ni 700k kati ya watu 60 million hivi huu uwiano ndio wa kumaliza korona?

Korona ni biashara kama biashara nyingine na kama umechanjwa jiandae kuwa kuku wa bloiler kila mwaka lazima udungwe chanjo.
Walio pata chanjo ni watu walio kuwa kundi hatarishi watu umri mkubwa na maradhi nyemelezi.....mtu yeyote anaye pinga chanjo kuna mawili ..........

Lakwanza ni mfata mkumbo anapinga sababu tu ameona watu wanapinga na yeye kaingia humo lkn hajui kwanini anapinga.

La pili haja ondokewa na watu wake wakaribu na ugonjwa huu wa CORONA kwahiyo hajui maumivu ya watu walio waona wapendwa wao wanaondoka kama mchezo within week.
 
Siku zote angekuwa anaongelea msimamo wake dhidi ya korona, hata heshima yake ingeanza kushuka huko kanisani kwake!

Cha msingi ni kwamba keshatoa msimamo wake, na Tanzania yote wanajua
 
Uzuri ni moja hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anayekubali chanjo kifala fala. Kila mtu anaangalia hali yake. Ukikubali rukhsa na uendelee hadi booster ya sita. Mimi nachubiri nione Rais SSH anapiga booster ya pili na tatu then ya nne. Akipiga booster ya nne nitajua kweli dawa imeingia.
 
Mambo yanakwenda kwa Kasi Sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona.

Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Mungu alilimalia au atalimaliza bila Sayansi.

Cha ajabu baada ya kibano alichopewa na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelegea au kalegezwa.

Tulitegemea hata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse.

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO.

Askofu Gwajima upo!?
Ameamua ajitafunie kondoo wake tu kimya kimya.
 
Ndio walioingia mji wa siasa na viwembe, hawakujua wenye shoka wanawatazama tu!
Na mwenzake msukuma aliingia na maneno kibao kupinga kuondolewa machinga, katupiwa bomu kuwa si raia wa Tz naye kaufyata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12] Daaah hii ndiyo TZ banaaa...
 
Cha ajabu baada ya kibano alichopewa na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelegea au kalegezwa.
Unajuwa sababu ya Gwajima kuto kuwepo bungeni?
Gwajima kabaki na msimamo wako ungebadili msimamo wake kwenye ile kamati ungemuona Gwajima yupo bungeni.

Gwajima alishafunga mjadala kuhus Corona na msimamo wake upo palepale

Njooo utuletee mada kuwa “Gwajima kaenda kanisani kwake kawaambia waumini wake nendeni mkachanje “
Kama hayo maneno hajatamka juwa msimamo Upo pale pale ni swala la wakati na muda watu kutembea na mavazi meupe yasiyokuwa na doa Mhuri ukiwa umepigwa
 
Ila suala la Imani gumu Sana Tena Sana...............HIVI GWAJIMA NAYE ANA WAUMINI KABISAAA.
 
Walio pata chanjo ni watu walio kuwa kundi hatarishi watu umri mkubwa na maradhi nyemelezi.....mtu yeyote anaye pinga chanjo kuna mawili ..........

Lakwanza ni mfata mkumbo anapinga sababu tu ameona watu wanapinga na yeye kaingia humo lkn hajui kwanini anapinga.

La pili haja ondokewa na watu wake wakaribu na ugonjwa huu wa CORONA kwahiyo hajui maumivu ya watu walio waona wapendwa wao wanaondoka kama mchezo within week.
La pili linawahusu wengi. Wanaopiga makelele kuipinga chanjo ni watu hawajawahi kuuguza mgonjwa au wagonjwa mpaka wakafariki. Hawahawaji kuuona ugonjwa kwa vitendo, wanaropoka tu na kubishana humu mitandaoni bila ya kujua wanaongea nini.
 
Ndiyo hawa walishauli MAGUFULI awape Mloganzila iwe MUHIMBILI badala ya kuwa university Teaching hospital.
 
Watu walikuwa wanasema ana watu wengi wenye nguvu nyuma yake, yeye anatumika kama kipaza sauti tu, hao watu wenye nguvu wapo wapi kwa sasa?
 
Siku nilipomuona kapanda vieite na mama nikajua tu imeisha hiyo!😂😂
 
Mambo yanakwenda kwa Kasi sana!

Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona.

Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Mungu alilimalia au atalimaliza bila Sayansi.

Cha ajabu baada ya kibano alichopewa na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelegea au kalegezwa.

Tulitegemea hata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse.

Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO.

Askofu Gwajima upo!?
MTAPIGA KELELE SANA,ILA SISI HUKU MIKOANI CORONA HATUIJUI.IPO KWENYE AGENTS WA NWO,WANASIASA NA VYOMBO VYA HABARI.KWETU SISI WANANCHI IT IS BUSINESS AS USUAL.LABDA WALE WAJINGA WACHACHE.
 
Back
Top Bottom