Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Wagogo mna shida sanaEti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Inawezekana alikuwa lucas mwashamba alibubujikwa na machozi kisha kakimbiaAkirudi mumkandike makofi barabara akamsimulie mkewe na aliyemtuma.Msisahau ushauri huu.
Jihad dhidi ya Wakristu imeanza.Eti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Na wewe acha kuuza mapanki uanzishe sinagogi lako.Acha wivu.Eti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Nimecheka sana.Inawezekana alikuwa lucas mwashamba alibubujikwa na machozi kisha kakimbia
Kabisa.Makanisa hayafungwi kama ufungaji wa sidiria.Kuwe na umakini hapo.Kanisa katoliki liingilie kati huu ujinga
TEC watoke wakemee huu ujinga wa kufungia makanisa
Finyaaa😂Wagogo mna shida sana
Mzee wa kububujikwa machozi huku amepiga magoti kwenye picha ya Samia.Inawezekana alikuwa lucas mwashamba alibubujikwa na machozi kisha kakimbia