Askofu Gwajima: Kuna mtu ameleta barua Kanisani jioni hii, sikuiona amesema atarudi kesho

Askofu Gwajima: Kuna mtu ameleta barua Kanisani jioni hii, sikuiona amesema atarudi kesho

Eti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Pumbavu mmchokonolewa mashetani wakubwa. Sasa mmejaa kwenye 18. Kuwa wauwaji ni ccm na serikali yake. Tunapoenda mkifanwatu watashangilia tu.
SWALA LA KUTEKA NA KUUWA WATU WACHUKUE ATUA MIKONONI TU SASA. MTU MKIONA ANATEKWA NA KUWAUWA WATEKAJI TU NA KUWATIA MOTO. LAZIMA IFIKE HATUA YA JINO KWA JINO NDIYO AKILI ITAWAKAA SAWA
 
Sasa kama hakuwa amepokea barua yoyote kwa nini akanushe kuwa hiyo iliyopo mtandaoni si ya kweli?

Huyu naye ana mapungufu makubwa kwenye public speaking.

Gazeti la The Citizen bado linaripoti kuwa kanisa lake limefungiwa, kwa mujibu wa hiyo barua.
siyo ya kweli sababu hajapewa official
 
Sasa kama hakuwa amepokea barua yoyote kwa nini akanushe kuwa hiyo iliyopo mtandaoni si ya kweli?

Huyu naye ana mapungufu makubwa kwenye public speaking.

Gazeti la The Citizen bado linaripoti kuwa kanisa lake limefungiwa, kwa mujibu wa hiyo barua.
Hata mimi ningekuwa Gwaji Boy ningepinga

Ningepiga kuwa sio ya kweli kwasababu utaratibu wa taarifa kama hizo hautegemewi kuzipata kwenye mitandao hususan kama wewe ndio mlengwa.

Kivipi muhusika Mkuu wa hiyo taarifa nichukue taarifa kutoka mitandaoni wakati mamlaka zina namna official ya ku communicate?

Pages za Polisi zilidukuliwa kisha wadukuzi wakaeneza uongo kuzusha Samia amedanja.

Kwa hiyo kweli tumeamua kuziba macho kujifanya hatuoni hoja ya Gwajima kwenye hili?
 
Ameongeza “Hapa nipo na Maaskofu na Viongozi wengi wa Dini wote wanahoji kuhusu hiyo barua iliyosambaa Mtandaoni ambayo nilieleza kuwa siyo ya kweli kwa kuwa sikuwa nimepokea barua yoyote na ilizua taharuki kwamba Kanisa letu limefungiwa.”
Kikundi na Mtumishi wanashikana pabaya sijui nana atanyosha mikono
 
Akirudi mumkandike makofi barabara akamsimulie mkewe na aliyemtuma.Msisahau ushauri huu.
ACHA KUWADANGANYA WENZIO BARUA YA SEREKALI, MJUMBE WAKE UMZABE MAKOFI, KWELI MNAJIPENDA? SEREKALI NI ISSUE INGINE KABISA, KWA CHONJO!,
BY SAA 3:00,ASB BARUA ITAWAFIKIA TU.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mara baada ya kusambaa kwa Barua mitandaoni iliyodaiwa kuwa imetoka kwa Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa ikihusu kufungia shughuli za Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufunuo na Uzima), Kiongozi wa Kanisa hilo, Askofu Josephat Gwajima amesema kuna Mtu amefika Kanisani hapo kwa lengo la kuleta barua jioni ya leo Juni 2, 2025

Amesema “Nikiwa kwenye ibada Wasaidizi wangu wamesema kuna Mtu alifika akasema ameagizwa kuleta barua, hawakuipokea, kitambulisho na taarifa zake tunazo, amesema atarudi kesho, tunamsubiri.”

Ameongeza “Hapa nipo na Maaskofu na Viongozi wengi wa Dini wote wanahoji kuhusu hiyo barua iliyosambaa Mtandaoni ambayo nilieleza kuwa siyo ya kweli kwa kuwa sikuwa nimepokea barua yoyote na ilizua taharuki kwamba Kanisa letu limefungiwa.”

Awali, barua hiyo ambayo hakuna Mamlaka iliyojitokeza kuizungumzia ilieleza Kanisa hilo limefungiwa kwa maelezo ya kutoa mahubiri yenye mwelekeo wa Kisiasa na nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi
Gwajiboy usiyumbe ,hakuna kosa ulilofanya ,viongozi wa dini wanaongea siasa sana wakiwa na waamini wao ,haku na double standard.
 
Hata mimi ningekuwa Gwaji Boy ningepinga

Ningepiga kuwa sio ya kweli kwasababu utaratibu wa taarifa kama hizo hautegemewi kuzipata kwenye mitandao hususan kama wewe ndio mlengwa.

Kivipi muhusika Mkuu wa hiyo taarifa nichukue taarifa kutoka mitandaoni wakati mamlaka zina namna official ya ku communicate?

Pages za Polisi zilidukuliwa kisha wadukuzi wakaeneza uongo kuzusha Samia amedanja.

Kwa hiyo kweli tumeamua kuziba macho kujifanya hatuoni hoja ya Gwajima kwenye hili?
Vipi kama haijamfikia tu lakini ipo njiani?

Kusema hiyo barua ni ya uongo maana yake ni kwamba haijaandikwa na huyo ambaye jina lake lipo kama mwandishi.

Gwajima angeweza tu kusema kuwa yeye hajapokea taarifa zozote kuhusu kufungiwa.
 
Eti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Unatumia nguvu kubwana sana mkuu. Nenda kapumzike uje na mikakati midogo yenye akili.
 
1748891751274.jpeg
 
Back
Top Bottom