Hama nchi ,Nyumbu mkubwaNilichodhani kurokea sasa kimekuwa rasmi. Gwajima ajue hawa watawala wanaweza fanya lolote kwani wanaamini hatuna la kuwafanya.
Hama nchi ,Nyumbu mkubwaNilichodhani kurokea sasa kimekuwa rasmi. Gwajima ajue hawa watawala wanaweza fanya lolote kwani wanaamini hatuna la kuwafanya.
Acha kumdanganya huyu mwehuGwajiboy usiyumbe ,hakuna kosa ulilofanya ,viongozi wa dini wanaongea siasa sana wakiwa na waamini wao ,haku na double standard.
Haaa haaa sometimes unichekesha kwamba anakomba pesa za waumini sasa si anakula madhabahuniEti yuko Mna maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Wananchi wakiamua wanaweza kuiondoa Serikali madarakani unalijua ilo mifano iko mingi sana Serikali ni kikundi cha watu ambao wanakuja na kuondoka ila Taifa linakuepo kwa hiyo Serikali sio kila kitu Wananchi wakiamua. Siungi mkono kumpiga Mjumbe wa Serikali Makofi maana yeye ametumwa tu hana kosa loloteACHA KUWADANGANYA WENZIO BARUA YA SEREKALI, MJUMBE WAKE UMZABE MAKOFI, KWELI MNAJIPENDA? SEREKALI NI ISSUE INGINE KABISA, KWA CHONJO!,
BY SAA 3:00,ASB BARUA ITAWAFIKIA TU.
Ndiyo.Document ya taasisi inakamilika bila muhuri?
Tutaona mengi sana mwaka huu mapicha picha haya yanakuga na mwisho mwema kabsaaaaMara baada ya kusambaa kwa Barua mitandaoni iliyodaiwa kuwa imetoka kwa Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa ikihusu kufungia shughuli za Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufunuo na Uzima), Kiongozi wa Kanisa hilo, Askofu Josephat Gwajima amesema kuna Mtu amefika Kanisani hapo kwa lengo la kuleta barua jioni ya leo Juni 2, 2025
Amesema “Nikiwa kwenye ibada Wasaidizi wangu wamesema kuna Mtu alifika akasema ameagizwa kuleta barua, hawakuipokea, kitambulisho na taarifa zake tunazo, amesema atarudi kesho, tunamsubiri.”
Ameongeza “Hapa nipo na Maaskofu na Viongozi wengi wa Dini wote wanahoji kuhusu hiyo barua iliyosambaa Mtandaoni ambayo nilieleza kuwa siyo ya kweli kwa kuwa sikuwa nimepokea barua yoyote na ilizua taharuki kwamba Kanisa letu limefungiwa.”
Soma Pia: Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi
Awali, barua hiyo ambayo hakuna Mamlaka iliyojitokeza kuizungumzia ilieleza Kanisa hilo limefungiwa kwa maelezo ya kutoa mahubiri yenye mwelekeo wa Kisiasa na nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi