Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Sijaona muhuri ila ina particulars za kutosha na saini.Hiyo barua ina muhuri na saini?
Sijaona muhuri ila ina particulars za kutosha na saini.Hiyo barua ina muhuri na saini?
Sasa kama hujaipata si unasema tu kuwa huna taarifa za kufungiwa na until then, I’ll have no comment. Kuna ugumu gani hapo?Ikiwa ipo njiani maana yake haijakufikia.
Ili uwe reasonable katika kutoa majibu yasiyo pinga uvumi unaosambaa mitandaoni ni lazma uwe walau na taarifa ya ujio wa barua kutoka kwenye hiyo mamlaka ili uwe katika nafasi nzuri ya kusema huwenda kuwa ipo njiani.
Sasa wewe huna taarifa, unasikia tu watu wanaongea, utaachaje kupinga?
Halafu
Saini zinagushiwa tu wala sio kitu cha kufanya mtu akubali uvumi wa mtandaoni.
Katika ule waraka wa G55 kuna baadhi ya wajumbe walioinga kuitambua nyaraka ile hali ya kuwa saini zao zipo kwenye documents.
Nayeye wamteke au vp waka mvunje miguu..?Akirudi mumkandike makofi barabara akamsimulie mkewe na aliyemtuma.Msisahau ushauri huu.
Hao ni wahuni. Barua gani inaletwa jioni? Pia zipo barua 2 mtandaoni moja signed nyingine haijawa signedKabisa.Makanisa hayafungwi kama ufungaji wa sidiria.Kuwe na umakini hapo.
Wewe wewe anafufua huyo. Nimemkumbuka marehem Mtikila. Kuna kijana aliambiwa ajifanye amekufa kisha Ngwajima amuombee afufuke kwa ahadi ya kupewa mshiko. Kijana akatekeleza, tatizo likaja mshiko wake akawa anazungushwa. Ile taarifa ikamfikia Mtikila kwa nini asikinukishe na kusema atamsaidia kijana kupata haki yake na suala anasema atalipeleka mahakamani. Bahati mbaya sikuifatilia ile kesi lakini alikinukisha na Ngwajima alipata federal.Eti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Source: Trust me bro.Mara baada ya kusambaa kwa Barua mitandaoni iliyodaiwa kuwa imetoka kwa Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa ikihusu kufungia shughuli za Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufunuo na Uzima), Kiongozi wa Kanisa hilo, Askofu Josephat Gwajima amesema kuna Mtu amefika Kanisani hapo kwa lengo la kuleta barua jioni ya leo Juni 2, 2025
Amesema “Nikiwa kwenye ibada Wasaidizi wangu wamesema kuna Mtu alifika akasema ameagizwa kuleta barua, hawakuipokea, kitambulisho na taarifa zake tunazo, amesema atarudi kesho, tunamsubiri.”
Ameongeza “Hapa nipo na Maaskofu na Viongozi wengi wa Dini wote wanahoji kuhusu hiyo barua iliyosambaa Mtandaoni ambayo nilieleza kuwa siyo ya kweli kwa kuwa sikuwa nimepokea barua yoyote na ilizua taharuki kwamba Kanisa letu limefungiwa.”
Awali, barua hiyo ambayo hakuna Mamlaka iliyojitokeza kuizungumzia ilieleza Kanisa hilo limefungiwa kwa maelezo ya kutoa mahubiri yenye mwelekeo wa Kisiasa na nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi
Mkuu Chiembe jibu hoja ya msingi, ni nani anaye teka watu, kuumia, kupoteza na kuumwa watu???Eti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za wauminimku
Au walikuwa wanamaanisha IGP?IJP kikundi cha watekaji.
Nakala Kwa IJP .ikibidi waanze mchakato mapema .
Gwajima amejibu straight kwasababu anajua ethics za hiyo department katika uwasilishaji wa taarifa.Sasa kama hujaipata si unasema tu kuwa huna taarifa za kufungiwa na until then, I’ll have no comment. Kuna ugumu gani hapo?
This is so simple 🤣.
Goodness gracious! Some people are so dumb.
Document ya taasisi inakamilika bila muhuri?Sijaona muhuri ila ina particulars za kutosha na saini.
Utani umezidi sasa. Nimecheka kwa sauti. 😂 😂Inawezekana alikuwa lucas mwashamba alibubujikwa na machozi kisha kakimbia
Inspekta jenerali wa polisi.Hivi ile nakala kwa IJP ndio nani, au ndio Kakistocracy yenyewe kwamba tunatawaliwa na vilaza?
No Reforms, No electionTumetokea kwenye mkondo mkali, kwa sasa unakwenda kupoa polepole! View attachment 3354041
Wao kwanza wanatakiwa wajiheshimu ndipo waheshimiwemambo ya serikali na mungu ayahusiani kabsa ila watawala waeshimiwe
Hiloo,kawanyoosha mbwer nyie...he he he! Endeleeni kuua,piteni kama mlivyozoea,ongozeni mtakavyoEti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Dishi limeyumba kitambo huyoSasa kama hakuwa amepokea barua yoyote kwa nini akanushe kuwa hiyo iliyopo mtandaoni si ya kweli?
Huyu naye ana mapungufu makubwa kwenye public speaking.
Gazeti la The Citizen bado linaripoti kuwa kanisa lake limefungiwa, kwa mujibu wa hiyo barua.