Heshimu imani ya watu , tukianza wakijibu dam itamwagika , hata Rwanda waliposhindwa kuheshimiana basi waliuana , leo wanaheshimianaEti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
nitajie kabila lisilokuwa na shidaWagogo mna shida sana
Unataka na wao wafungiwe?! 😄😄Kanisa katoliki liingilie kati huu ujinga
TEC watoke wakemee huu ujinga wa kufungia makanisa
Pumbavu mmchokonolewa mashetani wakubwa. Sasa mmejaa kwenye 18. Kuwa wauwaji ni ccm na serikali yake. Tunapoenda mkifanwatu watashangilia tu.Eti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
siyo ya kweli sababu hajapewa officialSasa kama hakuwa amepokea barua yoyote kwa nini akanushe kuwa hiyo iliyopo mtandaoni si ya kweli?
Huyu naye ana mapungufu makubwa kwenye public speaking.
Gazeti la The Citizen bado linaripoti kuwa kanisa lake limefungiwa, kwa mujibu wa hiyo barua.
IJP kikundi cha watekaji.Hivi ile nakala kwa IJP ndio nani, au ndio Kakistocracy yenyewe kwamba tunatawaliwa na vilaza?
Hata mimi ningekuwa Gwaji Boy ningepingaSasa kama hakuwa amepokea barua yoyote kwa nini akanushe kuwa hiyo iliyopo mtandaoni si ya kweli?
Huyu naye ana mapungufu makubwa kwenye public speaking.
Gazeti la The Citizen bado linaripoti kuwa kanisa lake limefungiwa, kwa mujibu wa hiyo barua.
Wanapima upepo kwanza.Serikali inaandika barua huku inaogopa,kila mtu akiulizwa anakana
Mr benad pembe aliacha joho lake kwa Gwajima sio?Niguse ninuke...
Kikundi na Mtumishi wanashikana pabaya sijui nana atanyosha mikonoAmeongeza “Hapa nipo na Maaskofu na Viongozi wengi wa Dini wote wanahoji kuhusu hiyo barua iliyosambaa Mtandaoni ambayo nilieleza kuwa siyo ya kweli kwa kuwa sikuwa nimepokea barua yoyote na ilizua taharuki kwamba Kanisa letu limefungiwa.”
Kutokupewa rasmi haimaanishi kuwa si ya kweli. Vipi kama hajaipata tu lakini atapelekewa?siyo ya kweli sababu hajapewa official
ACHA KUWADANGANYA WENZIO BARUA YA SEREKALI, MJUMBE WAKE UMZABE MAKOFI, KWELI MNAJIPENDA? SEREKALI NI ISSUE INGINE KABISA, KWA CHONJO!,Akirudi mumkandike makofi barabara akamsimulie mkewe na aliyemtuma.Msisahau ushauri huu.
Gwajiboy usiyumbe ,hakuna kosa ulilofanya ,viongozi wa dini wanaongea siasa sana wakiwa na waamini wao ,haku na double standard.Mara baada ya kusambaa kwa Barua mitandaoni iliyodaiwa kuwa imetoka kwa Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa ikihusu kufungia shughuli za Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufunuo na Uzima), Kiongozi wa Kanisa hilo, Askofu Josephat Gwajima amesema kuna Mtu amefika Kanisani hapo kwa lengo la kuleta barua jioni ya leo Juni 2, 2025
Amesema “Nikiwa kwenye ibada Wasaidizi wangu wamesema kuna Mtu alifika akasema ameagizwa kuleta barua, hawakuipokea, kitambulisho na taarifa zake tunazo, amesema atarudi kesho, tunamsubiri.”
Ameongeza “Hapa nipo na Maaskofu na Viongozi wengi wa Dini wote wanahoji kuhusu hiyo barua iliyosambaa Mtandaoni ambayo nilieleza kuwa siyo ya kweli kwa kuwa sikuwa nimepokea barua yoyote na ilizua taharuki kwamba Kanisa letu limefungiwa.”
Awali, barua hiyo ambayo hakuna Mamlaka iliyojitokeza kuizungumzia ilieleza Kanisa hilo limefungiwa kwa maelezo ya kutoa mahubiri yenye mwelekeo wa Kisiasa na nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi
Vipi kama haijamfikia tu lakini ipo njiani?Hata mimi ningekuwa Gwaji Boy ningepinga
Ningepiga kuwa sio ya kweli kwasababu utaratibu wa taarifa kama hizo hautegemewi kuzipata kwenye mitandao hususan kama wewe ndio mlengwa.
Kivipi muhusika Mkuu wa hiyo taarifa nichukue taarifa kutoka mitandaoni wakati mamlaka zina namna official ya ku communicate?
Pages za Polisi zilidukuliwa kisha wadukuzi wakaeneza uongo kuzusha Samia amedanja.
Kwa hiyo kweli tumeamua kuziba macho kujifanya hatuoni hoja ya Gwajima kwenye hili?
Unatumia nguvu kubwana sana mkuu. Nenda kapumzike uje na mikakati midogo yenye akili.Eti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Kwani Askofu unataka atoke wapi? Awe meneja wa TRA au Bandari? Kwamba wabeba mkaa hawawezi kuwa Maaskofu!? Akili finyu mnoEti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Alipigwa makofi Qaddafi ndiyo aje mjumbe wa barua!?Acha uzembe na kujipendekeza kama kenge.ACHA KUWADANGANYA WENZIO BARUA YA SEREKALI, MJUMBE WAKE UMZABE MAKOFI, KWELI MNAJIPENDA? SEREKALI NI ISSUE INGINE KABISA, KWA CHONJO!,
BY SAA 3:00,ASB BARUA ITAWAFIKIA TU.
Duh!! Lucas MwashambwaInawezekana alikuwa lucas mwashamba alibubujikwa na machozi kisha kakimbia