Askofu Gwajima: Kuna mtu ameleta barua Kanisani jioni hii, sikuiona amesema atarudi kesho

Sasa kama hujaipata si unasema tu kuwa huna taarifa za kufungiwa na until then, I’ll have no comment. Kuna ugumu gani hapo?

This is so simple 🤣.

Goodness gracious! Some people are so dumb.
 
HIi inaqe,a tafsirika kama vita dhidi ya wakristo. Kufunga kanisa ni kuwaonea waumini, fungeni gwajima na siyo kanisa.
 
Kesho jasusi analiamsha DUDE!

NCHI ITASIMAMA kwa muda!
Moshi utafuka!

Gwajima hajawahi kupoteza pambano!
 
Eti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Wewe wewe anafufua huyo. Nimemkumbuka marehem Mtikila. Kuna kijana aliambiwa ajifanye amekufa kisha Ngwajima amuombee afufuke kwa ahadi ya kupewa mshiko. Kijana akatekeleza, tatizo likaja mshiko wake akawa anazungushwa. Ile taarifa ikamfikia Mtikila kwa nini asikinukishe na kusema atamsaidia kijana kupata haki yake na suala anasema atalipeleka mahakamani. Bahati mbaya sikuifatilia ile kesi lakini alikinukisha na Ngwajima alipata federal.
 
Source: Trust me bro.
 
Eti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za wauminimku
Mkuu Chiembe jibu hoja ya msingi, ni nani anaye teka watu, kuumia, kupoteza na kuumwa watu???
 
Sasa kama hujaipata si unasema tu kuwa huna taarifa za kufungiwa na until then, I’ll have no comment. Kuna ugumu gani hapo?

This is so simple 🤣.

Goodness gracious! Some people are so dumb.
Gwajima amejibu straight kwasababu anajua ethics za hiyo department katika uwasilishaji wa taarifa.

Taarifa muhimu kama ile alitegemea yeye kuwa kuwa mtu wa kwanza kuipata kabla ya kusambazwa kwa umma.

Kwasababu kuisambaza mitandaoni kabla ya kuifikisha kwa mlengwa kunaweza kusababisha migogoro ya kisheria.
 
Eti yuko na maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Hiloo,kawanyoosha mbwer nyie...he he he! Endeleeni kuua,piteni kama mlivyozoea,ongozeni mtakavyo
 
Kwani barua ya kufungia kanisa ni hadi anayemiliki kanisa aione ndio tamko lake lipate uhalali?

Kwa uelewa wangu hicho kinachoitwa barua ni tamko/taarifa na halina nafasi ya kukubali au kukataa...

Kitu pekee hapa ni kujua je ni tamko halali na sio propaganda/uzushi...
 
Sasa kama hakuwa amepokea barua yoyote kwa nini akanushe kuwa hiyo iliyopo mtandaoni si ya kweli?

Huyu naye ana mapungufu makubwa kwenye public speaking.

Gazeti la The Citizen bado linaripoti kuwa kanisa lake limefungiwa, kwa mujibu wa hiyo barua.
Dishi limeyumba kitambo huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…