Askofu Gwajima: Kuna mtu ameleta barua Kanisani jioni hii, sikuiona amesema atarudi kesho

Eti yuko Mna maAskofu,maaskofu wa wapi hao wakati walikuwa wabeba mkaa hapo soko la Tandale. Biblia hawaijuii, ujanja ujanja tu wa kuiba hela za waumini
Haaa haaa sometimes unichekesha kwamba anakomba pesa za waumini sasa si anakula madhabahuni
 
ACHA KUWADANGANYA WENZIO BARUA YA SEREKALI, MJUMBE WAKE UMZABE MAKOFI, KWELI MNAJIPENDA? SEREKALI NI ISSUE INGINE KABISA, KWA CHONJO!,
BY SAA 3:00,ASB BARUA ITAWAFIKIA TU.
Wananchi wakiamua wanaweza kuiondoa Serikali madarakani unalijua ilo mifano iko mingi sana Serikali ni kikundi cha watu ambao wanakuja na kuondoka ila Taifa linakuepo kwa hiyo Serikali sio kila kitu Wananchi wakiamua. Siungi mkono kumpiga Mjumbe wa Serikali Makofi maana yeye ametumwa tu hana kosa lolote
 
Adhabu ni kubwa mno na kwa watu wasio na makosa.

1. mkosaji (kama amekosa) alikuwa gwajima.

2. adhabu wamepewa malaki ya waumini nchi nzima, hawatatakiwa kusali kwa sababu ya kosa la mtu mmoja.

3. kwa nini waumin wahukumiwe kwa mamkosa ya gwajima?

4. serikali ya rais muislam inafanya hivyo, hawaoni kama wataeleweka vibaya? tangu lini msikiti hata mmoja tu ulishawahi kufungwa hapa nchini, kwanini mfungie tu kanisa kubwa kama hilo,kwanini mnagawa watanzania?

imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!
 
Tutaona mengi sana mwaka huu mapicha picha haya yanakuga na mwisho mwema kabsaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…