Askofu Gwajima kushusha radi nzito kesho Kanisani kwake

Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Kama mfumo ndiyo unaruhusu haya... waandishi wa habari watatoka na cha kuandika. Lakini, kama si mfumo mjue wahariri wa vyombo vya habari watafura!
 
Muliro na Mafwele hawashindwi kwenda kutupa bomu nyumbani kwake. Asingekuwa na ulinzi mkali hadi sasa angeshakuwa chakula cha mamba wa mtoto Rufiji kwa kina Mchengerwa
 
Endelea kujidanganya, Magufuli na mkono wa chuma alishindwa ikabidi amsogeze karibu sembuse huyo chura kiziwi
 
Nabii Lema amesema neno moja tuu nalo ni ''Kama Mungu aishivyo...."
mwisho wa kunukuu
 
Only if you kill him, ni Mungu pekee ndie hawezi shindana nae mengine ni sikitu ikiwemo na huo uchafu CCM
Ni vigumu sana kuwa na msimamo kama una vitu vya kupoteza. Ni vigumu sana.
 
Murilo akakae pale getini Kwa Gwajiboy amzuie asitoke kesho atakuwa ametisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…