Askofu Gwajima kushusha radi nzito kesho Kanisani kwake

MBONA MNASEMA HAYUPO TANZANIA KESHATOROKA?
 
Nchi hii usicheze na vitu viwili: Dini na mpira(Yanga na Simba).
Dini mnaitweza sana. Waumini wa Askofu Kakobe waliwahi kuapa mbele za "Mungu" wao kuwa wapo tayari kufa kuliko umeme wa kilovolt ngapi sijui usipite mbele ya "Kanisa" lao hapo Mwenge. Kaangalie leo kama umeme haupiti hapo halafu uje uniambie.
 
Unafikiri Nyerere aliitwa ofisini na Wakoloni akapewa Uhuru?

Tunaweza tukawa waoga wakupigania haki ila kuside na watu wanawaowaumiza wapigania haki ila ni jambo la kishetani kulifanya.
 
Inaonekana wewe ni mrahisi sana kuliwa Yas endapo ukitishiwa
Kweli kabisa. Na hii niliiona kwa babaako alipoliwa Yas laivulaivu baada ya kujifanya mjuaji. Tangu siku hiyo nikawa mpole hasa baada ya kuniambia nimtunzie siri!
 
Gwaji ni kisiki cha mpingu. Wakitaka parapanda ilie basi wamguse
Ahahahahaha! Lissu yupo ndani aliyekuwa anadai anakubalika mpaka na Wazungu na mpaka leo HAKUNA mbwa yeyote ukiwemo wewe ambaye ameishamsaidia. Amebaki yeye na mtondoo, mtondoo na yeye! Nyambafu!!
 
Unafikiri Nyerere aliitwa ofisini na Wakoloni akapewa Uhuru?

Tunaweza tukawa waoga wakupigania haki ila kuside na watu wanawaowaumiza wapigania haki ila ni jambo la kishetani kulifanya.
Nyerere alijitokeza hadharani kupigania Uhuru. Wewe leo unajificha JF eti mpigania uhuru. Wewe ni mjinga na mpumbavu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…