Askofu Gwajima: Madikteta wote walishinda uchaguzi wa kidemokrasia lakini hawakuwa na maono

Maono si mlipewa na Nyerere au? Kupata maendeleo mnahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.
 
Maono ya miaka mingi ijayo yamo ktk Rasimu pendekeza alosimamia Judge Warioba.

Baada ya Katiba mpya kupatikana Gwajima anafaa Kwa nafasi ya juu kabisa. Amen
 
kazi ya Mbunge si kununua Greda

Binti wa Mtaani akirubuniwa na dereva wa bodaboda kuwa akimpa Mzigo atahakikisha Nchi inapata Katiba Bora halafu baada ya kuliwa akawa analalamika Katiba mpya mbona haijapatikana hapo wa kulaumiwa ni mboda boda ?

ukimtazama tu usoni Gwajiboy anaonekana kabisa muongo muongo tapeli tapeli, magirini magirini

Hivi lile greda aliloahidi kununua ndani ya siku 90 kwa ajili ya ukarabati wa barabara za Kawe alishanunua?
 
Swali la kujiuliza, JE HIYO SERA YA TAIFA ATAITENGENEZA NANI?

Isije ikawa sera ya taifa ikatengenezwa na hawa hawa vichwa maji wa ccm, kama ni hivyo bora hata isiwepo.
Mbeba maono HAFI hata atakapotimiza maono yake.

Akishindwa ndani ya chama chake atatimiza kupitia Chama kingine chenye maono yanayorandana na yake. Amen
 
Bishop anataka kutia mchanga asali za watu.
 
TANZANIA CHINI YA CCM INA MAONO YA KUIBA KURA KUKATAA KATIBA NA TUME HURU HAYO NDIO MAONO YA TANZANIA CHINI YA CCM

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
MKUU

Bora anaongea Sense

Usimtukane Mjoli hujui anaemtumikia ni nani hasa!!
 
Maneno yote hayo yangeweza kufupishwa kwa maneno mawili tu ya "KATIBA MPYA".
 
Hizo unaongolea nchi za kidikteta.
Tatizo letu kubwa ni katiba na mfumo wa kuongoza nchi.
 
Dikteta Adolf Hitler alikuwa na maono na kwa kiasi kikubwa alitimiza maono yake
 
Nilimkubali sana JPM kwa kuwa alikuwa na maono hayo aliyoyataja Gwajima. Na alikiuwa na sifa moja kuu ya kuona mbali kabla ya wengine. Miradi yote mikubwa aliyoinzisha ni kwa sababu ya Tanzania ya kesho, huyu mwamba kwa kweli hapo nilimkubali sana.
Kulazimisha Chato kuwa mkoa/jiji ni maono yenye faida gani kwa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…