Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

Hakika kama mbunge tunaye maneno haya ji ya busara san Hongera sana Askofu Gwajima mwanzo mzuri huu ni mwendo wa kusonga mbele bila kuangalia nani anabweka
 
Hahahaha ukiwa na akili mgando huwezi kuelewa, yeyusha ubongo wako kwanza uanze kuwaza kama mwenye akili timamu...
Mimi nina akili timamu ndio maana nimeona kuwa hajaongea chochote bali ni upuuzi tu. Wewe uliyeyeyusha ubongo wako ndio inabidi ujitafakari. Sio kuleta upuuzi wako humu kwa watu wasomi na wenye exposure zetu.
 
Basi, huwezi kushindana na mtu mwenye pesa, kibali na madaraka...ila swala la kuwa Mungu ni issue nyingine ambayo kwa Gwajima haipo
Mtu akisifiwa sana ni sawa unamuabudu, sasa si sawa anakuwa ka Mungu kwa wanaomsifu sana bila hata aibu. Tungekuwa na watu kama akina Marc Antony na zile speech zao basi tungesema kabisa huyu ni Malaika Gabriel.
 
Mimi Nina akili timamu ndo mana nimeona kuwa hajaongea chochote bali ni upuuzi tu. Wewe uliyeyeyusha ubongo wako ndo inabidi ujitafakari. Sio kuleta upuuzi wako humu kwa watu wasomi na wenye exposure zetu.
Kusoma post za Mdee unajiita msomi, hahahahaha, hahahah! poor mind.
 
Mimi Nina akili timamu ndo mana nimeona kuwa hajaongea chochote bali ni upuuzi tu. Wewe uliyeyeyusha ubongo wako ndo inabidi ujitafakari. Sio kuleta upuuzi wako humu kwa watu wasomi na wenye exposure zetu.
Hizi ni chuki tu tunawajua nyie hivyo endeleeni kubweka hamzuii kitu yeye ndio kwanza anasonga mbele
 
Mtu akisifiwa sana ni sawa unamuabudu, sasa si sawa anakuwa ka Mungu kwa wanaomsifu sana bila hata aibu. Tungekuwa na watu kama akina Marc Antony na zile speech zao basi tungesema kabisa huyu ni Malaika Gabriel.
Kusifia ukweli sio ibada...kwenye kusifia sifia, nje ya hapo ni unafiki...narudia, ni unafiki...sifia hata kama ulishawahi kukosoa..huo ndo uanaume
 
Back
Top Bottom