Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

Mtu akisifiwa sana ni sawa unamuabudu, sasa si sawa anakuwa ka Mungu kwa wanaomsifu sana bila hata aibu. Tungekuwa na watu kama akina Marc Antony na zile speech zao basi tungesema kabisa huyu ni Malaika Gabriel.
Ni wivu tu wewe hatakama akimsifu Sana inakuhusu nin why unaumia kama sio wivu ndo kashakuwa Rais Sasa huyo mliokuwa mnamtaka mfuaten ubelgiji
 
Gwaji ameimba pambio kama waimbaji wengine akina kessy,
All in all ,,haramu inasifia haramu nyenzie.

Uovu haushindi.
Uovu hauna mwisho mwema.
 
rashid a.k.a chokoraa...usiku wa leo lazima "apite" na kitu maalum mmoja!.
 
Ni wivu tu wewe hatakama akimsifu Sana inakuhusu nin why unaumia kama sio wivu ndo kashakuwa Rais Sasa huyo mliokuwa mnamtaka mfuaten ubelgiji
Unazungumza na mimi au? Maana umetaja Ubelgiji, wakati mimi niko hapa Tandika na sina mtu ninayemfahamu anaishi huko.
 
Huyu huyu anayewatukana makadinali na kutaka kugeuza misikiti kuwa Sunday School ndio mwenye akili?
Tafuteni kingine hayo yameshapitwa na wakati hiyo ilikuwa sherehe ya kumpongeza baada ya Gwajima kaupishwa hamna jpya yan
IMG-20201110-WA0280.jpg
 
It was a good speech nonetheless.
 
Gwaji ameimba pambio kama waimbaji wengine akina kessy,
All in all ,,haramu inasifia haramu nyenzie.

Uovu haushindi.
Uovu hauna mwisho mwema.
Wewe ndo haramu uliyezaliwa nje ya ndoa uko kiharamu haramu toka uko tumbuni mwa mama yako ndo maana hujielewi
 
Back
Top Bottom